Bukobawadau

SWALA YA IDD EL FITR MJINI BUKOBA LEO

 Sehemu ya Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiwa ndani ya Masjid Jamia Mjini Hapa kwa ajili ya swala ya Iddi El fitri asubuhi leo July 29,2014
 Ndivyo anavyo ingia Msikini Haji Kazinja
Nje ya Msikiti wa Jamia .
Taswira Sehemu ya barabarani nje ya Masjid Jamia.
Waumini ndani ya Masjid Jamia kwa ajili ya Swala ya Iddi El fitri

 Baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu muda mfupi kabla ya kuswali sala ya Iddi El Fitr 
 Baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wakiswali sala ya Iddi El Fitr katika masjid Jamia Uliopo katikati ya Mji wa Bukoba  leo asubuhi.
 Umati wa Waumini wa  Dini ya Kiislamu wakiendelea kuswali Sala ya Iddi El fitri
 Sehemu ya Waumini wa Kiislam wakiendelea na Swala ya Ibada ya Iddi hii leo
 Sheikh wa Mkoa wa Kagera Sheikh Haruna Kichwabuta akisoma Khotuba ya Swala ya Iddi El Fitr.
 Sheikh Ismail akitoa mlejesho kama mwana mahesabu wa Masjid Jamia
 Sheikh Yusuph Kakwekwe akitoa tathimini ya Maendeleo ya Shule ya Kiislam ya Jamia
Sheikh akiendelea kuratibu ratiba ya Ibada ya Iddi 
Mara baada ya Swala ya Idd El Fitri
Ndugu Hamad Habib King.
Baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu muda mfupi baada ya kuswali sala ya Iddi El Fitr katika mshikiti Jamia Mjini Bukoba  leo asubuhi.
Sehemu ya Waumini wa Kiislam wakicheck na Camera yetu
Katika kupongezana na Mdau Hamim
Kama wanavyo onekana pichani baada ya Sala ya Idd El fitri
Next Post Previous Post
Bukobawadau