Bukobawadau

UWANJANI KAITABA # BILELE 5-0 KIBETA #KAGASHEKI CUP 2014

Michuano ya Kombe la Mbunge 'Kagasheki Cup 2014'Imeendelea tena kwa siku ya jumapili July 6,2014
ambapo timu ya Bilele imetoa dozi kwa kuichapa Kibeta mabao 5-0
Kikosi cha Vijana wa Bilele maarufu kama Km 0 wa hapa hapa.
 Sehemu ya mashabiki wa Timu ya Bilele
 Sehemu ya Uwanja wa Kaitaba
 Mh. Diwani Ibrahimu Manyema, Kiongozi wa Bilele akichekelea juu ya kinacho jili Uwanjani
Wachezaji wa Bilele wakishangilia bao.
Timu ya Bilele ni Mabingwa watetezi baada ya kubeba kombe hilo kwa mwaka Jana.
Sehemu ya mashaki na wapenzi wa  KAGASHEKI CUP 2014 wa nje ya Uwanja wa Kaitaba
Next Post Previous Post
Bukobawadau