Wanaitwa Shemeji Invest
wakishirikiana na Ibracadabra wanakuletea ile Band bora,Mashujaa Music
Band,watoto wa mama Sakina,siku ya tarehe 14/08/2014,Ndani ya ukumbi wa
Lina's night clab.
Mashujaa Band,Wazee Wa Posoposo ndio Band Bora hapa nchini, Mdau Jipange tuwemo katika hili.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comment:
Post a Comment