Bukobawadau

MISA YA SHUKURANI KUMBUKUMBU YA KIFO BIBI ANGELINA GODWIN KIKUMI WA BWEYUNGE,KANYIGO


Matukio mbalimbali katika, Shughuli ya Ibada ya misa ya shukurani kumkumbuka marehemu Angelina Kikumi,wa Kijijini Bweyunge Kanyigo
 Mdau Amani Kajuna  katika mpango mzima wa kuchukua matukio kupitia ipad yake.
Wanamgambo nao walialikwa kuangalia hali ya usalama wakati FOCUS ELECTRONICS wa mjini BUoba walipokuwa wanaporomosha 'mavituz'
 Wazee,Fransis Tumbo(kushoto) na Joseph Tibesigwa,na kijana Willy Ndyetabula wakati wa misa
 Mwalimu mkuu msaidizi wa The Shining ya mkoani Mbeya ,Yasin Khamis a.k.a Madani(mwenye kofia) akifuatilia burudani
 Msimamizi mkuu wa familia ya marehemu Angelina Kikumi,ambaye ni mjukuu wake,Amani Kajuna na mkewe Leah(katikati) wakifuatilia,wakiwa na mishumaa
.Akina mama wa chama cha kitume wakishiriki misa
Kwaya ya mtakatifu cesilia iliyoimba wakati wa misa
 MC wa hafla hiyo,mr Ngirwa akipata msosi
 Ngoma ya ALUTAA a.k.a.a Akatanyukwile kutoka kata ya Ruzinga,wilaya ya Missenyi wakifanya vitu vyao
 Msanii NSHOMILE FAMILY akitumbuiza na kushangiliwa vilivyo
 Baada ya misa ulifuata utambulisho:Mwalimu mkuu wa The Shining English medium Primary school ya mkoani Mbeya,Hemed Mwanda alitambulishwa
 Ngoma ya LUGOLOILE kutoka Bukoba mjini waliburudisha
 Amani Kajuna akimtambulisha mkewe,Leah
 Mhasibu wa shule ya The Shining,Lilia Kibona(kushoto),na mwanafamilia,Theopista Lushasi,wakijimwayamwaya
Next Post Previous Post
Bukobawadau