Bukobawadau

MTIKISIKO WA FIESTA 2014 BUKOBA NI SHEEDAH!

 Wakazi wa Mji wa Bukoba na wapenzi wa burudani wamelipokea vyema Tamasha la Serengeti  Fiesta 2014 lililofanyika kwa mara ya kwanza  mjini hapa usiku wa kuamkia leo.
 Sehemu ya maelfu ya wakazi wa Bukoba  wakishuhudia tamasha la fiesta Uwanjani Kaitaba
 Mashabiki na wapenzi wa Shangwe za tamasha la Serengeti  fiesta 2014wakimshangilia Mgeni Rasmi Balozi Khamis Kagasheki mara alipo panda jukwaani
 Mgeni Rasmi Mh. Balozi Khamis Kagasheki Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini akiongea  na maelfu ya watu waliojitokeza kushuhudia tamasha hilo ikiwa ni kwa mara ya kwanza Mkoani Kagera,mjini Bukoba hususani jimboni mwake
 Mh. Balozi Khamis Kagasheki Mbunge Jimbo la Bukoba akitoa shukrani za dhati na wazi kwa  Bwana Ruge Mutahaba ,mkurugenzi wa ufundi na uzalishaji wa Clouds Media Group
 Msanii 'Recho' akifanya vitu vyake jukwaani
 Mdau Hillary Lema mbele ya Camera yetu
 Ommy Dimpoz Pozi kwa Pozi akiwaibika
Muonekano wa Msanii K-Styhe
 Linah akifanya mambo mbele ya maelfu waliojitokeza uwanjani Kaitaba
 Mwanadada Oddy Pais msanii wa Mjini hapa akifanya yake katika Tamasha la Fiesta 2014
 Msanii msomi wa hapa mjini Suka  Suka Lyrics  anayekuja kwa kasi kwenye  gemu ya Hip Hop akifanya yake katika tamasha la Serengeti fiesta 2014 ndani ya Uwanja wa Kaitaba
 Sehemu ya mashabiki wa fiesta ndani ya Uwanja wa Kaitaba
 Mashabiki wa Serengeti fiesta 2014 Uwanjani Kaitaba wakishangilia mara baada ya kuwaona mbele yao watangazaji Dj Fetty na B12
Kwa wakazi wa Bukoba umati kama huu unatukumbusha mwaka 1988 ilipokuwa Uzinduziwa sherehe za Mei Mosi Kitaifa katika Uwanja wa Kaitaba sawa na Fiesta
 Mwamko wa Wakazi wa Bukoba kunawashangaza Dj Fetty na B12
Hakika  bukoba mpo juu, tumewakubali !!
 Edd Booy Mshindi wa Serengeti super nyota 2013 akifanya yake jukwaani.
Mwanadada  Linah na kundi lake jukwaani
 Msanii Stamini akifanya makamuzi ya hatari na kuwaimbisha mashabiki uwanjani Kaitaba
Sehemu ya Mashabiki jukwaani.
 Ommy Dimpoz Jukwaani..
Wanyange pichani wakicheck na Camera yetu
 Sebastian Maganga mmoja wa waratibu wa tamasha la Serengeti fiesta akihojiwa na Clouds Tv 
 Wadau usokwa uso na Clouds TV wakati mambo mengine yakiendelea.
 DJ Fetty  alipo panda jukwaani kwa mara ya tena
Msanii Kadja akiimba  wimbo wake wa Maumivu
MsaniiWinfrida Josephat 'Rachel' akiwajibika jukwaani
Kutoka kundi la Tanzania House of Talent (THT), Winfrida Josephat 'Rachel' akifanya yake jukwaani wakati wa Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 Uwanjani Kaitaba -Bukoba
Msanii Buya Man akishirikiana na Arnold Kalikawe kuimba Wimbo wa Marehemu Justin Kalikawe ikiwa ni katika kumuenzi miaka 11 baada ya kifo chake.
 Akiendeleza kumbukumbu ya Baba yake Mdogo,jukwaani ni  Ras Arnold Kalikawe
 Mratibu wa Tamasha la Serengeti Fiesta Bukoba Ndugu Willy Kiroyera akitoa salaam kwa wadau.
Mawasiliano mazuri kati ya mashabiki na Mratibu wetu upande wa Bukoba ndugu Willy Kiroyera.
 K-Styhe ameweza kukidhi mashabiki ni mshindi wa Serengeti Fiesta Super Nyota wa mwaka 2013
 Wacha kabisa!! pichani msanii Mr Blue 'Kabaisa, Babyloom'akifurahia VIBE kutoka kwa mashabiki
Mashabiki wakitoa Support kwa Msanii wa kizazi kipya Mr Blue 'Kabaisa, Babyloom'
Msanii wa Hip pop Ney wa mitego 'TRUE BOY'


Watu Full kaulule, 'Embaga'!!
Barnaba boy akiimba kwa hisia kali jukwaani na kupagawisha mashabiki.
 Katika kusambaza upendo mwanga wa tochi za simu ndani ndani kaitaba ukiwashwa na mashabiki
Mwanga wa tochi za simu ndani
Msanii Nshimile msanii maarufu  ukanda huu alipo panda jukwaani alishindwa kuonyesha uwezo. .
 Msanii Nshomile akiendelea kuwajibika jukwaani Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 Bukoba
Msanii Maarufu nchini Saida Karoli Mkali wa Kaisiki ,Mapenzi kizunguzungu na Maria Salome
Msanii mkongwe wa nyimbo za asili ya Kihaya nchini mwenye sauti ya aina yake,mkali wa kughani na kipaza sawa na WHITNEY HOUSTON hapa akitoa kitu live.
Sehemu ya  Mashabiki 
 Sheeedah kubwa kutoka kwa mkali wa hip hop Stamina
 Msanii wa hapa hapa BK Sunday
 Ndivyo mambo yanavyo chukua kazi Uwanjani Kaitaba fiesta 2014
 Msanii Rais wa Manzese  akiwajibika
 Harakati za kusambaza upendo Fiesta 2014 ni Sheeeedah!
 'Embaga ya Bantu'
Dj Zero akiendelea kusababisha
 Saa 9 usiku Msanii Madee  ndiye alikuwa wa mwisho kupanda jukwaani.
INGIA HAPA KWA PICHA NYINGINE ZAIDIhttps://www.facebook.com/Bukobawadau
Next Post Previous Post
Bukobawadau