Bukobawadau

ATHARI ZA MAAFA YA UKAME ZINAPUNGUZIKA


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Bi. Jane Mutagurwa akiwasisitiza Wataalam katika Sekta ya Kilimo, Mifugo, Afya, Elimu na Utawala wa kata ya Mwamalasa, Masanga na Langana Wilayani Kishapu jana,  wakati alipofungua  mafunzo ya jinsi ya kutekeleza Mradi Wa Kuijengea Jamii Uwezo wa kupunguza Athari Za Maafa katika kata zao, mafunzo hayo yanaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu,  Idara ya Uratibu wa Maafa kwa Tarehe 1-5 Septemba, 2014.

Wataalam wa kata ya Langana Wilayani Kishapu, katika Sekta ya Kilimo, Mifugo, Afya, Elimu na Utawala wakiwa katika majadiliano ya  kubainisha aina ya Maafa yanayoathiri kata yao, wakati wa mafunzo ya jinsi ya kutekeleza Mradi Wa Kuijengea Jamii Uwezo wa kupunguza Athari Za Maafa katika kata zao, mafunzo hayo yanaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu,  Idara ya Uratibu wa Maafa  kwa Tarehe 1-5 Septemba, 2014.
Wataalam wa kata ya Mwamalasa Wilayani Kishapu, katika Sekta ya Kilimo, Mifugo, Afya, Elimu na Utawala wakiwa katika majadiliano ya  kubainisha Changamoto wanazopata wakati wa  kukabili maafa yanayoathiri kata yao  wakati wa  , mafunzo ya jinsi ya kutekeleza Mradi Wa Kuijengea Jamii Uwezo wa kupunguza Athari Za Maafa katika kata zao, mafunzo hayo yanaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu,  Idara ya Uratibu wa Maafa kwa Tarehe 1-5 Septemba, 2014.

Wataalam wa kata ya Masanga Wilayani Kishapu, katika Sekta ya Kilimo, Mifugo, Afya, Elimu na Utawala wakiwa katika majadiliano ya  kubainisha Mbinu wanazotumia kukabili maafa yanayoathiri kata yao,  wakati wa mafunzo ya jinsi ya kutekeleza Mradi Wa Kuijengea Jamii Uwezo wa kupunguza Athari Za Maafa katika kata zao, mafunzo hayo yanaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu,  Idara ya Uratibu wa Maafa kwa Tarehe 1-5 Septemba, 2014.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Bi. Jane Mutagurwa (wa pili Kushoto walio kaa)  akiwa katika picha ya pamoja na wakufunzi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania na Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika pamoja na Wataalam kutoka Kata ya Masanga, Mwamalasa na Langana mara baada ya  kufungua mafunzo ya jinsi ya kutekeleza Mradi Wa Kuijengea Jamii Uwezo wa kupunguza Athari Za Maafa, mafunzo hayo yanaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu,  Idara ya Uratibu wa Maafa kwa Tarehe 1-5 Septemba, 2014.

Next Post Previous Post
Bukobawadau