Bukobawadau

MAANDAMANO YA CHADEMA BUKOBA LEO

 Mjini Bukoba leo Sep 24,2014 Wanachama wa Chadema kutoka Kata za Bakoba na Kibeta zimefanya maandamano Katika Manispaa ya Bukoba kushinikiza kustishwa kwa Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma wakiwa na mabango yaliyokuwa na ujumbe Maalumu.
 Polisi walionekana wakizunguka katika mitaa mbalimbali kudhibiti wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) watakaojitokeza kuitikia wito wa kufanya maandamano.
Next Post Previous Post
Bukobawadau