Bukobawadau

NAIBU GAVANA WA KANDA YA BRABANT WALONIA AKUTANA NA BALOZI KAMALA

Kulia ni Naibu Gavana wa Kanda ya Brabant Walonia ya Ubelgiji Mhe. Issable Kibassa Maliba akimkabidhi zawadi Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala baada kumaliza mazungumzo naye. Balozi Kamala yuko kwenye ziara ya kutembelea kanda mbalimbali za Ubelgiji.
Next Post Previous Post
Bukobawadau