SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

25 September 2014

PAPA FRANCIS AMEMFUTA KAZI ASKOFU ROGELIO

Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, amemfuta kazi Askofu Rogelio Livieres Plano wa Paraguay kwa kile kilichoelezwa na Vatican kwamba ni kitendo cha askofu huyo kumlinda padri anayetuhumiwa kuwadhalilisha kingono watoto wadogo. 
Ujumbe kutoka Vatican ulikuwa umetumwa nchini Paraguay kuchunguza tuhuma kwamba askofu huyo alikuwa akimpandisha daraja na kumtetea padri huyo raia wa Argentina.

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU