Bukobawadau

MATUKIO PICHA/VIDEO KATIKA SEND OFF PARTY YA JOVITHA JOHNBOSCO RWECHUNGURA,SEP 27

Bi harusi mtarajiwa Bi Jovitha Johnbosco Rwechungura.
 Pichani kulia ni Mr.Elirehema Donald Mariki ambaye ndiye Mtalajiwa wa Bi Jovitha Johnbosco Rwechungura.
 Kitendo kinacho endelea pichan, Bi Jovtha anamuinua mmewe mtalajiwa na kumvisha saa ya mkononi kimahaba  muda mchache kabla ya kumtambulisha
 Kama ilivyo kwisha tabiriwa ,Bi Jovitha  Johnbosco  Rwechungura sasa anaelekea kumtambulisha rasmi mumewe mtarajiwa
Bi Jovitha Johnbosco Rwechungura akimtambulisha Mmewe Mtalajiwa katika usiku wa 'bonge la sendoff yake' iliyofanyika usiku wa Jana Jumamosi sep 27,2014 katika Ukumbi wa Bukoba Club.
 Meza ya wazazi wa Bi Jovitha Johnbosco Rwechungura wakimsikiliza Binti yao kwa umakini.
Mr.Elirehema Donald Mariki Bi Jovitha Johnbosco Rwechungura wakati wa utambulisho.
 Hakika Ilikuwa ni bonge la Party,  Kila la kheri na baraka tele ziwashukie katika ndoa yenu itakayofanyika hivi karibuni huko Marangu Moshi,Nyumbani kwao Mr.Elirehema Donald Mariki
Wakati Bi Jovitha J.Rwechungura akimtafutia Mmewe Mtalajiwa Sehemu maalum ya kukaa
 Ni tukio linalo onekana kumpendeza na kumvutia Mshenga wa shughuli hii pichani
Mpangilio mzima wa shughuli hii  ulikuwa po sana,kuanzia ratiba mpaka hali ya utulikvu kwa waalikwa,theme ilikuwa ni kula, kunywa na kucheza ngoma ya kinyumbani na muziki.
 Matroni katika miangaiko yake.
 Keki ikikatwa kwa shangwe .
Pichani anaonekana Mzee Anthoine Rwechungura akipokea zawadi ya keki kama Mzazi.
 Mama Mzazi wa mtarajiwa akipokea zawadi yake ya keki.
Hakika ilikuwa  ni siku ya furaha kwa familia ya Rwechungura na Bi Jovitha
 Meza ya wazazi wa Mtalajiwa, Bi Jovitha Johnbosco Rwechungura wakitowa mikono ya shukrani.
Zawadi ya keki kwa Mama wa Dini.
Zawadi ya Keki kwa Baba na Mama Mlezi wa  Bi Jovitha Johnbosco Rwechungura.
 Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi yashughuli hi akipokea zawadi yake ya Keki.
 Wanashow love mbele ya frash ya Camera yetu.
 Taswira mbalimbali ukumbini
 Upande wa pili famila ya Mzee  Donald Mariki wanakabidhiwa zawadi yao ya keki pia.
 Wageni kutoka moshi wakifurahia jambo.
 Meza mbalimbali za waalikwa
Sehemu ya waalikwa ukumbini.
Mzazi Mlezi wa Bi harusi mtarajiwa Bi Jovitha Johnbosco Rwechungura akitowa neno.
Neno kwa niaba ya familia ya Rwechungura.
 Bibi Annastazia Rwechungura  mwenye furaha na bashasha kubwa mara baada ya utambulisho.
 Mzee Anthoine Rwechungura akwapungia watu mikono mara baada ya utambulisho.
Kushoto ni Mpambe wa Mtarajiwa Mr.Elirehema Donald Mariki pichani kulia.
Meza ya familia ya wazazi upande wa Mtarajiwa wetu Bi Jovitha J. Rwechungura.
 Kwa wageni kutoka Moshi, utambulisho unafanywa na Dada wa Mtalajiwa Mr.Elirehema Donald Mariki pichani
 Mama Mzazi wa Mr.Elirehema Donald Mariki wakati wa utambulisho.
 Baba Mzazi wa Mr.Elirehema Donald Mariki
 Katika hili na lile wanaonekana wadau pichani
Hakika Bi Jovitha J Rwechungura alipendeza sana, nguo yake ilimkaa sawasawa...ilikaa poa sana
Hakika wawili hawa wanavutia mno.
Mdau Peter 'Tosh' Rwechungura akiendelea kufanya tathmini juu ya kile kinacho endelea ukumbini.
 Mshereheshaji mahiri wa Shughuli hii mara baada ya kufungua champagne,anafanya kuwamiminia

Wanakunywa Champagne kwa furaha
Vinjywaji vya kila aina  ndo usiseme....
 Burudani ya Ngoma ya asili ya kihaya kama utakavyojionea katika sehemu ya Video.
Burudani kiendelea...
Ndugu jamaa na marafiki waliohudhuria shughuli hii wakitowa pongezi zao
Waalikwa wakiwapongeza.....
Ni muda wa msosi wa nguvu!
Omg Peter'Tosh' akipata huduma ya chakula.
Wapambe wa Bi Jovitha wakipata huduma ya chakula.
Mzee Anthoine Rwechungura akipata huduma ya chakula.
.Chakula kilikuwa kitamu sana ,mpendwa  msomaji na ningependa nimtaji mpishi ili na  wewe upate kumjuwa, ila kwa sasa tumejipanga kibiashara zaida ukizingatia ni sehemu ya promo....!!
 Ndivyo anavyo onekana Kaka Mkubwa wa Mtarajiwa kutoka huko Moshi
 Wanaendelea kupata mulo.
 Watarajiwa na wapambe wao kwa pamoja wakipata msosi.
Wageni walifurahi vya kutosha ki burudani, misosi na vinywaji.
 Ndugu Mdau msomaji wetu  inafika wakati maneno maneno yanakwisha ebu tuendele na picha  na Sehemu ya video mwishoni mwa habari hii kupitia BUKOBAWADAU BLOG.
 Babu naye akapata fursa ya kutowa zawadi kwa mjukuu wake, hii imekaa vizuri sana.
 Muonekano wa Banda Maalum lililoshehini zawadi toka kwa Mama Mzazi wa Bibi harusi mtarajiwa
 Sehemu tu ya Zawadi kutoka kwa Mama Mzaa chema.

Watarajiwa wetu Bw.Elirehema Donald  na Bi Jovitha Johnbosco Rwechungura wakiendelea kukagua na kufurahia zawadi ndani ya Banda maalum kutoka kwa Mama Jovitha
 Walimu kutoka shule ya Msingi Katoma B, wakijisogeza kukabidhi zao yao.
 Utarati wazawadi ukiendelea kwa makundi mbalimbali,pichani ni Kikundi cha 'Ujirani mwema'
 Wana mama kutoka kikundi cha Upendo waliweza kutowa Support kubwa upande wa zawadi
 Wajombo wa Bi  wakikabidhi zawadi kibao.
 Muendelezo wa zawadi kutoka kwa Ndugu wa familia ya Rwechungura, Dada wa Mtalajiwa
Hakika mambo yalkwenda vyema kabisa , kwa mpangilio safi, baada ya Dada, zawadi zikaendelea kwa Shangazi wa Mtalajiwa, ndugu wengineo na marafiki wa familia.
 Yalaiti...!Machozi ya furaha, Machozi ya huba yanamtoka mama mzaa chema wakati wa kupokea zawadi kutoka kwa mwanae.
Mama  akitokwa machozi na hakuna anayejua sababu iliyomfanya  hivyo,bila shaka ni kuona Mwanae mpendwa anakwenda kuolewa...?!au kuna kitu kakumbuka, ...?!
 Usikose kupitia Sehemu ya Video, kuona kwa mkutasari yaliojiri katika Send off Party hii ya Bi Jovitha John Bosco Rwechungura iliyofanyika katika ukumbi wa Bukoba Club.
 Pichani ni Mama Kayunga ,rafiki wa karibu wa Mama mzaa chema akikabdhi zawadi zake.
 Familia ya Rwechungura katika picha ya pamoja na Bi harusi mtarajiwa Jovitha Johnbosco Rwechungura.
 Bibi Annastazia Rwechungura akimuhimza Mdau Peter 'Tosh' Rwechungura kucheck na Camera
 Moja ya icha ya kumbukumbu  kati ya Mtarajiwa Bi Jovitha na Mama yake wa Dini.
 Vijana wakishusha burudani ya Show..
 Bi Jovitha Johnbosco Rwechungura akicheza ngoma ya asili ya Bukoba
 Matukio zaidi ya picha yaliojiri katika shughuli hii  na sehemu ya video hapo chini

 Meza wa Wageni kutoka Moshi ,wakiwa wamesima tayari kwa zoezi la kuaga.
PITIA SEHEMU YA VIDEO YALIYOJIRI USIKU WA BI JOVITHA JOHNBOSCO 

Kwa picha zadi ya 150 tembelea Facebook page yetu kupitia hapa>>Bukobawadau Entertainment Media


Next Post Previous Post
Bukobawadau