Bukobawadau

WALIOVHAGULIWA STASHAHADA YA JUU YA UALIMU

Kwa waliochaguliwa kozi tajwa hapo juu mnatakiwa kuomba mkopo bodi ya mikopo haraka sana, hii kwa wale wa masomo ya sayansi na hisabati tu.

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 10/9/2014
Kumbuka kuwa mtasoma kwa mfumo wa chuo kikuu kwa miaka mitatu, ada ni laki sita na chakula mtajitegemea,
Kwa maelezo zaidi tembelea www.heslb.go.tz
AU FANYA KUGONGA HAPA CHINI/
TEMBELEA LINK HII KWA MSAADA ZAIDI NA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA
Next Post Previous Post
Bukobawadau