Bukobawadau

HOSPITAL YA COSAD YAANZA RASMI KUTOA HUDUMA OCT 25, 2014

Cosad Clinic iliyopo maeneo ya Nyamkazi Bukoba imeanza rasmi kutoa huduma kwa wagonjwa nyanja mbalimbali
 The first International COSAD CLINIC PARTNERS FROM THE USA wameweza kutoa huduma ya macho na miwani . Vision Honduras Foundation ikiongozwa na KAREN AND BUTCH OLSON wametoa miwani zaidi ya 500 kwa clinic ya COSAD
 Dr. Jessica Baitani akiimiza jambo kwa Nurse Antifona Anthony pichani kulia.
 Hospitali hiyo yenye vifaa vya kisasa imeanza kutoa huduma kwa wagonjwa wa nje na ndani ambapo kwa kuanzia siku ya leo zaidi ya wagonjwa 102 wamepata huduma za kawadi na ya macho .
Huduma inatolewa kila siku kuanzia saa 2 Asubuhi hadi saa 2 usiku/ jioni.

 Nurse Antifona Anthony akiwajibika.
 Ndg Smart Baitan Mkurugenzi wa COSAD Tanzania akipokea ujumbe kutoka kwa Ms Brittany Leitch  ambaye ni Afisa Mipango wa COSAD Tanzania


 Sehemu ya Wagonjwa.
 Mama Mjamzito akipata huduma kutoka kwa  Dr. Jessica Baitani
 Ndani ya COSAD Clinic,Hospitali ambayo inatoa huduma ya juu katika katika sekta ya afya.
 Chumba cha kulaza Wagonjwa.

 Anaonekana Dada Sharifa Karwani pichani kushoto.
 Mdau Mujuni Baitani pichani
 Mkurugenzi naye akiwajibika.
 Ms Brittany Leitch akiongea na Mama anayetegemea kupata huduma


 Ndani ya  chumba cha maabala ya kupima na kugundua gonjwa/Magonjwa
Bi Flaviana akiwa  hospitalini hapo kupata huduma ya Macho.
 Mr. Smart Baitani akiongea na baadhi ya wagonjwa waliofika kupata huduma katika Hospitali hii


 Sehemu ya Mapokezi watu wakifuata utaratibu.
 Pichani Kushoto anaonekana Ndugu Amini Buruani akiwa anasubilia  huduma
 Huduma kubwa zinapatikana kwa bei nafuu kabisa
Wanaonekana Wagonjwa waliofika hospitalini hapa kwa ajili ya kupata huduma.
Next Post Previous Post
Bukobawadau