

Pichani kulia anaonekana Ndugu Rady Rweyemamu ambaye ni mtoto wa marehemu,Kwa hivi sasa Msiba unaendelea Nyumbani Kwa Adv Rweyemamu mtaa wa Miembeni Bukoba



Muda mchache kabla ya kusafirisha mwili wa Marehemu Collettha,sehemu ya waombolezaji wakiwa wamefika Bugando kuwafariji wafiwa,kushoto anaonekana Ndg Azizi Kichwabuta rafiki wa familia.
Taarifa za awali zinasema kwa siku ya KESHO Alhamsi kutakuwa na Misa maalum ya kumuombea Marehemu Colletha Rweyemamu itakayofamnyika Nyumbani kwake Miembeni Bukobai majira ya saa kumi jioni.



Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe!!
1 comment:
Poleni kwa msiba Rady,Justine,dada yenu na advocate Rweyemamu.Mungu alimpenda zaidi yetu.Tutamweka kwenye maombi yetu kila kukicha Mungu amkaribishe kwenye makao ya milele.Poleni
Post a Comment