Bukobawadau

MH.ROBART KATUNZI AKABIDHI ZAWADI YA KOMPYUTA SHULE YA MSINGI KASHABO

 Mh.Robart Katunzi (Tabu gani)Diwani kata ya  (Hamugembe)ametoa zawadi ya kompyuta pamoja na printer kwa ajili ya matumizi katika Shule ya Msingi Kashabo iliyopo Mjini hapa.
 Tukio hilo lilifanyika wakati wa mahafali ya darasa la saba katika shule ya Msingi Kashabo ambapo Mgeni Rasmi  alikuwa Mh.Robart Katunzi (Tabu gani)Sep 26,2014
Uongozi wa Shule ya Msingi Kashaba umetoa shukrani za dhati kwa Mh.Robart Katunzi kwa  ajili ya zawadi yake isiyo na kifani kwa kuelewa umuhimu wa kompyuta kwendana na teknolojia.
 Sehemu ya Walimu wakifurahia zawadi hiyo ya Kompyuta aina ya Dell
Mgeni Rasmi Mh.Robart Katunzi maarufu kama (Tabu gani),akimkabidhi  cheti mhitimu wa darasa la saba Shule ya Msingi Kashabo, katika mahafali yaliyofanyika Sep 26,2014.
Next Post Previous Post
Bukobawadau