Bukobawadau

SADATH BOUTIQUE MAHALI SAHIHI PAKUJIPATIA BIDHAA ZA KISASA

 Camera yetu ndani ya Sadath Boutique wale wakali kwa uuzaji bidhaa kama ;Shirts,tshirts,suits,jackets,sweater,pants,jeans,watch,hand bag,backpack,hoodies,shoes,boots,skirts,sandals,mules,slippers.
Ndani ya Sadath Boutique waliopo ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba utajipatia nguo za kisasa za kila aina na za kila rika,
 Ndani ya Sadath Boutique utapata Nguo za wadada kwaajili ya ofisini, kutokea usiku na hata kwaajili ya kuwa casual kwa siku za kawaida.
 Mikato ya kisasa kama inavyo onekena katika picha.
 Sadath Boutique kwa sasa wapo kivingine  na kitofauti kabisa hii yote ni katika kukuwezesha wewe mteja kupata kile kinacho kustahili kwendana na mitindo ya kisasa kabisa katika nyanja hii ya uvaaji
 Kupitia picha hii Mtalaam wetu wa Mavazi huko ng'ambo anashauri mpangilio wa flanner Gray na Trouser yoyote na akasisitiza hivyo ni vitu vya Ronald Reagan.Na kwa hapa Bukoba ni ndani ya Sadath Boutique
 Kwa ufupi tunachoweza kukueleza ndugu msomaji ,kama wewe unajuwa na unaelewa kuvaa ni nini na kujistili ni nini ni kwamba kwa wale wavaaji Sadath Boutique ndiyo sehemu sahihi.
Kwa mvuto zaidi kwa masister doo, Mpango mzima ni  kufika ndani ya Sadath Boutique
 Muonekano wa Viatu pichani juu,Kwa kiswahili sahihi sijapata ila wenzetu wanasema ni Blucher wingtip dress shoe hapo kwa suti sawa casual pia inakubalika.
 Jukumu walilo nalo Sadath Boutique ni kukufikishia bidhaa kwendana na hali ya hewa.
 Hakika jamaa wapo vizuri.

  Hakika Sadath boutique kwa upande wa wanaume wamedhibiti vyema kwa kulete viatu aina mbalimbali kwa kuzingatia ubora.
 Mambo ya Air Max yanahusika.
 Onekana nadhifu na Mashati ya Kisasa Design na Rangi tofauti tofauti,yote juu ya yote utapata Mikanda ya Ngozi (Pure Leather) kwa size tofauti. Jeans za Kileo zisizopauka kirahisi. 
 Mambo  ndani ya Sadath Boutique si mchezo
Sadath Boutique Wapo jirani kabisa na  Soko Kuu Mjini Bukoba barabara ya Kashai ya Zamani
Mawasiliano +255 784 240 006  +255 717 493 707
Next Post Previous Post
Bukobawadau