SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

05 October 2014

SIKILIZA HOTUBA YA BALOZI KAGASHEKI UZINDUZI WA MIRADI YA COSAD TANZANIA

Sikiliza hotuba ya  Mh.Mbunge wa Bukoba Mjini Balozi Khamis Kagasheki,akisifu utendaji kazi wa Ndg Smart Baitani Mkurukenzi mwanzilishi wa Shirika lisilo la kiserikali COSAD Tanzania, ambapo pia Mh. Balozi Kagasheki alitoa Nyumba kwa ajili ya Matumizi ya COSAD Tanzani.
BONYEZA KITUFE CHA PLAY HAPA CHINI KUMSIKILIZA MH.BALOZI KAGASHEKI

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU