Bukobawadau

SLAA AKIWASILISHA MADA NIMD

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibroad Slaa akiwasilisha mada inayohusu 'Political Parties Engagement in Political Reforms; The Roles, Persepectives, Challenges and Dilemma of Opposition Parties in Africa; Tanzania Experience', kwenye semina iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), ikifadhiliwa na Netherlands Institute of Multiparty Democracy (NIMD), iliyofanyika jana Zanzibar.
Next Post Previous Post
Bukobawadau