CAMERA YETU NOV 9,2014
Muonekano wa Kisiwa
cha Musila moja ya kivutio kikubwa katika Mkoa wetu wa Kagera unapatikana
kaskazini magharibi kama kinavyo onekana kilipo ndani ya Mji wa Bukoba.
Moja ya fukwe nzuri kabisa kando ya Ziwa Victoria wadau wakipunga upepo
Mambo ya beach full kujiachia katika bustani nzuri za maua na miti zinazotunzwa vizuri!
Hekaheka za hapa na pale
Maeneo ya New Coffee Tree Hotel , camera yetu uso kwa uso na Ndugu Kibasa
Bi Godliva pichani akicheck na Camera yetu
Mandhari Safi za kupendeza ndani ya Manispaa ya Mji Bukoba
Mdau Moha Nyundo kama alivyokutwa jioni ya leo akibalizi mandhari ya ziwa Victoria.
Katika fukwe za Kiroyera wadau wakiendelea kufurahia siku yao.
Wadau wakiwa fukweni “Kiroyera beach”kumalizia siku yao
Mdau Godfrey Bwogi akicheck na Camera yetu pande hizi za Kiroyera Beach.
Katika hali ya Utulivu fukweni 'Kiroyera'
Bi Rehema Ridhiwani na Bi Vannesa Vanny katika Ukodak
Kijana Obrah Karugila
Tukiendeea kucheck na Camera yetu mtaa kwa mtaa.
Mzee Ramadhani King
Katika kushow love na Camera yetu.
Kushoto ni Ustaadh Saraf kama aliyokutwa na Camera yetu pande za Market Street
Ndivyo wanavyo onekana Vijana hawa wakiwa fukweni katika hili na lile.
BUKOBAWADAU BOG tunafurahia kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241