Bukobawadau

HARUSI YA DIDAS FRIDOLIN KAMBONA NA BI ELIZABETH GRASIANNA YAFANA!

indi  na LindiSehemu ya matukio ya harusi yanayoashiria mwanzo wa kuanza kwa maisha shirika baina ya Bw. Didas Fridolin Kambona  na Bi Elizabeth R. Grasian iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Andrea Kaggwa na kufuatia na tafrija ya kuwaponeza wanandoa hawa ilifanyika katika Ukumbi wa Kanisa la Mt Andrea Kaggwa  Mkoani Lindi


 Matukio Misa ya Ibada ya ndoa ya Bwana Didas Fridolin Kambona  na Bi Elizabeth R.Grasian
Bwana Didas Fridolin Kambona  na Bi Elizabeth R.Grasian wakiwa tayari kwa tukio la kufunga ndoa
Check check furaha waliyonayo Didas Fridolin Kambona  na Elizabeth R. Grasianna wakati wa tukio la ndoa hiyo ikiongozwa na Askofu Chitanda,Askofu  msaidizi wa Jimbo Katoliki la Lindi
Sasa Ndoa ishafungwa haoooooooooooo wanamelemeta  Mr & Mrs Didas Fridolin Kambona 
Hakika wamependeza maharusi hawa ndani ya nyeusi na nyeupe
 Didas Fridolin Kambona  na mkewe Elizabeth R. Grasianna wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa yao,hakikaMwenyezi Mungu anadhihirisha kwa namna ya waziwazi,kwanza wawili hawa wanapendana
Tukio adhimu kwa ajili ya picha ya kumbukumbu ya ndoa yao
 Bwana  Didas Fridolin Kambona akitoa utambulisho
 Bw. Didas Fridolin Kambona akiendelea  kuwasilisha kile kilichoko moyoni mwake namna anavyo mpenda mkewe Elizabeth R. Grasianna katika sehemu ya utambulisho.
 Muda mchache kabla ya  tukio adhimu la kukata keki
  Mr & Mrs Didas Fridolin Kambona wanalishana keki,Wadau tuwape pongezi wanandoa hawa na kuwatakia maisha mema!
 Maharusi wakinywa champagne
Sasa ni mirindimo ya burudani Ukumbini
 NASI BUKOBAWADAU BLOG tunawapongeza maharusi hawa na kuwatakia heri na baraka na ulinzi wa Mungu uwe juu yao na wakaishi maisha marefu yenye mfano wa kuigwa na watu wote. 
Mbarikiwe!

Next Post Previous Post
Bukobawadau