Bukobawadau

MISA TAKATIKFU KUMBUKUMBU YA MIAKA 7 KIFO CHA MA AULERIA KOBULUNGO MUGANDA

 Misa ya kumbukumbu ya Miaka 7 tangu kufariki kwa Marehemu Ma Auleria Kobulungo Muganda (1918-2007)iliyofanyika siku ya Jumapili Nov 16  Nyumbani kwake Bakoba Custam-Mjini Bukoba.
Padre akiongoza shughuli ya Misa takatifu kwa ajili ya shukrani kumbukumbu ya miaka 7 kifo cha Ma Auleria Kobulungo Muganda
Shughui ya Idaba ikiendeea.
Mdau Racksoni Kasabila akiendela kushiriki ibada
Taswira kibandani Ibada ikiendela.
Bi Angel Msika pichani kushoto na Ndugu  Ndugu Bachubila wakati Misa ikiendelea

 Mzee  Alon Rwekiza  pichani
 Mdau Rahym Kabyemela  sambamba kabisa na shughuli nzima inayo endelea
 Ndugu wa familia Mdau Dickson Anathory akifanya yake kuchukua matukio

 Ibada ikiendelea...
 Ikafika wasaa Padre akawakaribisha waumini waliotayari kupokea
 Wa kwanza kabisa alikuwa Mzee  Selestin Kabalemesa
 Mzee elestin Kabalemesa , moja ya nguzo ya familia hii kama anavyo onekana pichani

 Matukio zaidi ya Bukoba yataendelea badae
 Bi Devotha Kimenye katika hili na hili
 Msemaji wa familia kwa niaba ya Fr. James anaonekana Mzee Robart akitoa angalizo
 Kwa umakini mkubwa Ndugu  Epimacus Cornel akiendelea kuratibu shughuli hii
Endelea kuwa nasi kwa matukio zaidi ya picha.

 Ndugu Maxmilian   pichani. Waalikwa wakiendelea kupata kinywaji chaguo la wengi Windhoek
 Kilichobaki ni mwendo wa Windhoek  kulingana na kasi yako
Baada ya Misa  Ikafuatia burudani ya nguvu kutoka kwa wanaukoo
 Kama ilivyo Bokoba Ngoma ndio mahala pake.

 MATUKIO YA DAR -MISA MAALUM YA KUMBUKUMBU KIFO CHA MA AULERIA KOBULUNGO MUGANDA

Muonekano wa Kaburi la Marehemu Ma  Auleria Kobulungo Muganda
 Shughuli ya misa takatifu iliyoandaliwa na Familia ya Fr. James Rugemalira Nyumbani kwake Makongo Jijini Dar  es Salaam ,Maalum kwa ajili ya kumbukumbu ya miaka 7 tangu afariki dunia Mama yao Mpendwa Ma Auleria Kobulungo Muganda.
Shughuli hiyo ikiongozwa na Fr Mukandara.
 Tukio linalo endelea Padri Mukandara akibariki kaburi
 Kuelekea sehemu maalum kushiriki Misa takatifu ya Shukrani ikiwa ni kumbukumbu ya miaka 7 tangu afariki dunia Mpendwa wao Ma Auleria Kobulungo Muganda .
 Fr.James Rugemalira akiongoza na Bi Benedicta Rugemalira kuelekea kushiri Ibada hiyo.
Sehemu ya mapadre walioshiriki katika misa hiyo takatifu yakumbukumbu ya miaka 7 tangu afariki dunia Mpendwa Ma Auleria Kobulungo Muganda .
 Wanakwaya  wakendelea
 Sehemu ya wajukuu wa Marehemu Ma Auleria Kobulungo Muganda.wakiendelea kushiriki Ibada hiyoJ pichani katikati ni Ndg Joe Mgaya kulia ni Mdau Jerome Rugemalira
 Taswira mbalimbali Misa ikiendelea


 Kushoto ni Bi Benedicta Rugemalira ,nyuma yake amekaa  Jerome akifuatiwa na mwanae Jo,Fr James na Dada Evelyn
 Katika hali ya utulivu wakiendelea kufuatilia kinachojiri katika shughuli ya Misa maalum ya kumbukumbu ya miaka 7 kifo cha Ma Auleria Kobulungo Muganda.
 Matukio ya Dar es Salaam picha kwa hisani ya Doto Mwaibale
 Tembelea ukurasa wetu wa Facebook kupitia link hii >>  Bukobawadau Entertainment Media Kwa matukio ya picha zaidi ya 200 yaliyojiri  Bukoba-Dar katika shughuli ya Misa  takatifu ya shukrani Kumbukumbu ya Miaka 7 Kifo cha Ma Auleria Kobulungo Muganda.


Next Post Previous Post
Bukobawadau