skip to main |
skip to sidebar
BUNGE KUENDELEA LEO SAA 1 JIONI NOV 29,2014!
Taarifa za hivi punde kutoka kwa Mh Zitto Kabwe ni kwambu wabunge watakutana saa moja jioni ya leo Jumamosi Nov 29,204 kuendelea na shughuli za Bunge baada ya pande 3 PAC ,CCM na UKAWA kuafikiana.
0 comment:
Post a Comment