Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mwantumu Mahiza (katikati) akiwa katika picha
ya pamoja na Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubeligiji baada ya
kutembelea fursa mbalimbali za biashara na uwekezaji zilizo Mkoa wa
Pwani. Balozi wa Tanzania Ubeligiji anaongoza ujumbe huo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comment:
Post a Comment