BALOZI KAMALA AKABIDHI JEZI ZA MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU TIMU ZA VIJANA WA TANZANIA UBELIGIJI
Balozi wa Tanzania in Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika
picha ya pamoja na viongozi wa timu za vijana wa Tanzania za mpira wa
miguu baada ya kuwakabidhi jezi za mchezo wa mpira wa miguu.
0 comment:
Post a Comment