Bukobawadau

MAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA MAREHEMU ROZARIA KOKUSHELURA JIONI YA LEO DEC 2,2014

 Mamia ya watu wameweza kushiriki shughuli ya mazishi ya marehemu Bi Rozaria Kokushelura, yaliyofanyika jioni ya leo jumanne Dec 2,2014 Kijijini kwake Bugandika.
Mapadre wakiongoza Misa ya Ibada ya mazishi ya marehemu Bi Rozaria Kokushelura.
Waumini wa Kikatoliki wakiendelea kushiriki Ibada ya Mazishi ya Marehemu Rozaria Kokusherula.
Watoto wa Marehemu wakiwa na nyuso za huzuni wakati wa ibada ya kumuombea mama yao
Wakati wa uhai wake, Marehemu Bi Rozaria Kokushelura alijishughulisha na ujasiliamali
 Jeneza lenye mwili wa Mareemu Bi Rozaria Kokushelura wakati Ibada ya mazishi ikiendelea
 Mama Sipe ambaye ni Dada mkubwa wa Marehemu Bi Rozaria Kokushelura.
Wakiendelea na mapambio ya nyimbo za kikristo wakati wa Ibada ya Maziko
Wanakwaya wakiendelea na Ibada ya maziko.
 Waumini wa Kikatoliki wakiendelea kushiriki Ibada ya Mazishi ya Marehemu Rozaria.
 Waumini wakiendelea na Ibada


 Sehemu ya wanakwaya.
 Jeanifer Murungi Kichwabuta
Padre akiendelea kutoa mahubili wakati wa ibada ya mazishi
 Sehemu ya wanafamilia wakati Ibada ya Mazishi ya Marehemu Bi Rozaria Kokushelura
Mh. Yusuph Ngaiza , Diwani kata Kashai
Mh. Mwajabu Galiatano na Mama Ashura hawa ni madiwani manispaa Bukoba
Twende wote mpaka mwisho kwa taswira kamili Ibada ya mazishi ikiendelea kupitia Bukobawadau mtandao pekee unao weza kukufikishia kile kinachotakiwa kwa kina...!
 Kijana Mkhusin Athmani akishiriki mazishi hayo
 Ndoa Moa Nyundo na Adv. Kabakama.
 Mr.Divo Rugaibura pichani kushoto
 Kushoto ni Mdau Hamis Umande katika picha na balozi wa Chai Jaba
 Mama Gettu Bilikwija.
 Ibada ya mazishi ikiendelea, pichani anaonekana Dr. Remmy mkuruenzi wa Smart.
 Uncle Thom, Mr Moa na Adv Kabakama.
 Mr. Optaty Henry (katibu)


 Mr  Kabago David Kyajuga akiteta jambo na Mzee Kaganda, kushoto yupo Haji Nurag na Mr. Khalid pichani kulia


 Mr Taimuli Karama pichani.
 Ni huzuni mkubwa kwa watoto wa Marehemu Bi Rozaria Kokushelura.
 Ms Zainabu ambaye ni mtoto wa tatu kwa kuzaliwa na Marehemu Bi Rozaria Kokushelura.
 Abbas na Arafa baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa  marehemu Mama yao mpendwa.
 Ndugu wa familia wakishiriki zoezi la kutoa heshima za mwisho
 Mama Mulima akitoa heshima zake za mwisho kuuaga mwili wa Marehemu Rozaria Kokushelura.
Kinacho endelea ni kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama yetu mpendwa Rozaria
Poleni sana ndugu kwa kuondokewa na mpendwa wenu
Wadau mbalimbali wakiuaga mwili wa Rozaria Kokusherula kwa huzuni kubwa
 Dada Teddy Mboto akitoa heshima za mwisho .
 Mr. Philbart 'Kitwe' akitoa heshima za mwisho kuaga mwili wa Marehemu Rozaria Kokushelura
 Ni vilio vitupu kwa ndugu wa familia wakati wa kutoa heshima za mwisho


Wanakwaya wakiongoza  Nyimbo za dini ya Kikristo za kumsifu na kumuabudu Mungu.
Vilio ,simanzi na huzuni  vikighubika  eneo la msibani hapa Kijijini Bugandika  wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Bi Rozaria Kukusherula

Kulikuwa na simanzi kubwa miongoni mwa waombolezaji waliofika kutoa heshima zao za mwish
 Zoezi la kutoa heshima za mwisho likiendelea.
 Mama Muga pichani akishiriki zoezi la kutoa heshima za mwisho.
 Uncle Salum Organizer na Mama Field wakitoa heshima zao za mwisho
 Mlangira Mzee Rafa mbele ya Camera yetu msibani hapa.
 Pole sana Mama Said Kombora kufuatia msiba wa Dada yako mpendwa
Sehemu ya wadau walio weza kushiriki katika shughuli ya mazishi haya.
Taswira mbalimbali wakati shughuli ya Ibada ikiendela.
Kwa umakini, ukweli na uhalisia  ndivyo wanavyo onekana wadau pichani
Waombolezaji  wakiwa na huzuni wakati wa  misa ya Ibada ya mazishi ya marehemu Bi Rozaria.
 Uncle Haruna Goronga pichani katika hali ya simanzi.
Marehemu  Rozaria ameacha watoto wa wanne pichani, wakike wawili na wakiume wawili.
Sehemu ya waombolezaji katika hali ya huzuni.
 Mama Field akendelea na Ibada ya mazishi
 Mrs Ishengoma Bilikwija
 Mr. Ishengoma Bilikwija
 Pole sana Ndugu Moa kufuatia msiba huu ya Bibi yako mpendwa.
Uncle Salum  katikati akiweka maneno kidogo sambamba na maswahiba zake.
 Pole sana Adv. Kabakama kwa kuondokewa na Dada yako mpendwa, marehemu Rozaria Kokushelura
  Watoto wa marehemu wakipokea Salamu za Rambirambi kutoka sehemu mbalimbali
 Mwakilishi wa Mh. Mama Mshashu akitoa salaam za rambirambi
NOTE;BUKOBAWADAU BOG tunafurahia kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
 Watoto wa marehemu Bi Rozaria Kokushelura wakati wa utambulisho
 Haruna Goronga na Ndugu majid Kichwabuta.
Hakika ni Simanzi kubwa kwa wote walio mjua vyema marehemu Bi Rozaria.
...
Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Bi Rozaria Kokushelura likipelekwa kaburini tayari kwa mazishi
 Wafiwa na waombolezaji wakiongozana kuelekea eneo la Kaburi, tayari kwa shuhuli ya mazishi.
 Jeneza likiwa eneo la kaburi tayari kwa mazishi.
 Jeneza likiinizwa Kaburini
 Marehemu Rozalia Kokushelura alizaliwa mwaka 1964  hivyo ameishi duniani kwa miaka 50.
Padre akiongoza kuweka  udongo kwenye kaburi la Marehemu Rozaria Kokushelura
Wanafuatia watoto wa Marehemu wakionozwa na Abbas.

Zoezi la kuweka udongo linaendelea...
Shughuli ya kuweka udongo ikiendelea.


Watu mbalimbali wakiendelea na utaratibu wa kuweka udongo kaburini
Watu ni wengi kweli kweli kiasi Ilikuwa vigumu kupata njia kuweza kuweka Udongo kaburini
Sehemu ya maegesho mara baada ya shughuli ya mazishi.
MUHIMU;BUKOBAWADAU BOG tunafurahia kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241


Wadau katika hili na lile mara baada ya kutoka eneo la kaburi
Share ukurasa wetu wa facebook na rafiki zako ili kuwakaribisha kwa habari na matukio ya papo hapo!!
Ndugu wadau wasomaji kwa matukio ya picha zaidi ya 200, tafadhari 'like' ukurasa wetu wa facebook na share 'post' Zetu kupitia hapa>>Bukobawadau Entertainment Media
 Bukobawadau tunatoa pole zetu za dhati kwa familia nzima ya marehemu Ndugu jamaa na marafiki Mwenyezi Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu.Bwana ametoa bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe Amen!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau