Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la tatu Amani Issack
Abraham Sepetu kwa niaba ya Baba yake Issack Abraham Sepetu (marehemu)
katika hafla kutunuku nishani katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es
Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la pili Augustino
Stephene Ramadhan katika hafla kutunuku nishani katika viwanja vya Ikulu
Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa
Tanzania Bara juzi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la pili Mohammed Fakih
Mohammed katika hafla kutunuku nishani katika viwanja vya Ikulu Jijini
Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania
Bara juzi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la pili Ali Salum
Ahmed katika hafla kutunuku nishani katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar
es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara
juzi
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la nne Bibi Johari
Yussufu Akida katika hafla kutunuku nishani iliyofanyika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara juzi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la nne Haji Machano Haji katika hafla kutunuku nishani iliyofanyika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara juzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (kutoka kushoto) Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi (katikati) na Waziri Mkuu wa Tanzania
Mizengo Pinda wakiwa hafla kutunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano iliyofanyika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara juzi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la tatu Ali Ameir
Mohamed katika hafla kutunuku nishani iliyofanyika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara juzi.Picha na Ikulu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comment:
Post a Comment