Tumepokea kwa
masikitiko makubwa sana kifo cha Bi Fatuma Juma Kikwemu (Mama Mohamed )
kilichotokea jana majira ya saa 1 usiku katika Hospitali ya Mkoa Kagera.
Mazishi yatafanyika mchana wa leo Alhamisi kwenye makaburi ya Kishenge Bukoba,baada ya swala ya dhuhuri.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Rest in peace mama yetu. Poleni sana Zenna, Jamilah, Ally, Hassan na Mohammed
Post a Comment