SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

16 December 2014

TANZIA:KOCHA MSHINDO MADEGA AFARIKI DUNIA

Kifo cha aliyekuwa mchezaji wa Zamani wa mpira wa miguu ,timu za RTC Kagera na timu ya Mkoa Lweru Eagles ,Mshindo Madega kimetokea usiku wa kuamkia leo Jumanne dec 16,2014 nyumbani Kwake Kashai baada ya kuugua kwa muda mfupi!
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Kocha Mshindo Madega kilichotokea leo (Desemba 16 mwaka huu) mjini Bukoba.
Mbali ya kuwahi kuwa mchezaji katika timu ya RTC Kagera, Kocha Madega aliwahi kufundisha timu za Kagera Stars, Mwadui na kombaini ya Copa Coca-Cola ya Mkoa wa
Kagera.
Mchango wake katika mchezo wa mpira wa miguu tangu akiwa kocha na baadaye kocha utakumbukwa daima.
Tunatoa salama za rambirambi kwa familia ya marehemu, Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa
wa Kagera (KRFA), Chama cha Makocha wa Mpira wa Miguu Tanzania (TAFCA) Mkoa wa
Kagera na klabu ya Bukoba Veterans na kuwataka kuwa na subira na uvumilivu katika
kipindi hiki kigumu cha msiba huo. TFF itawakilishwa kwenye msiba huo na Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Kagera (KRFA).

7 comment:

mwinyi mbwita said...

Wadauu wangu Mimi in mwinyi mbwita mshindo

mwinyi mbwita said...

Enter team training una mambo yakuniambia kweli nikama makosa kumuyutukia NTU Tanzanian yeye pembe Lita kumbukwa kwani MTU akin zaliwa na kocha ni kumfunga mbona kocha anamtua mp mi Mimi niopoe who wrote funzo mp ttp STK tanza m antamzani kombaini not I fungwi h I'd his vertarani wahaya mama mwinyi kasema vibaya kweli mi Mimi merjar ntan raileader mtanzania sijakosa huku nine vuta nakuywa

mwinyi mbwita said...

Ananipeleka mbwita guiope hule the Maya jeruso faya ask him icon labuster mama care desire moi faire de who wrote back je ecrite je supar album p faire bien cest bone police nisaidieni

Unknown said...

Nawasalimia babu wa mp ttp kagera sugar mps militari polices. Sécurité des informations confidentielles ou à vous avez des informations confidentielles ou à moi long temps pour le temps que je suis en ligne avec un autre personne qui est ce message d'origine objet de mon CV ainsi qu'une seule chose que vous pouvez me faire des informations confidentielles miditer

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU