Bukobawadau

YALIYOJIRI KUTWA NZIMA CRISMAS BUKOBA 2014

Ni majira  ya Saa tanu na nusu asubuhi ,ambapo mvua ikiwa inanyesha,Mara anatokea Jamaa akiwa kapendeza kweli kuanzia juu hadi chini na anaonekana mkarimu sana
unaonekana mkarimu sana

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Blogger wenu najitambulisha kwake, akasemase:“Unasema unaitwa nani, unasemaje”, nikamwambia samahani kaka nimevutiwa sana na Uvaaji wako yaani sijui hata nisemeje!!Jamaa akatabasamu kisha akajitambulisha kuwa yeye ndiye  Justuce Lugaibura ukipenda niite Baba Grace!
Heeeeh!..Kweli duniani kuna mengi,Wakati mwenzenu nashangaa mavazi ,kumbe jamaa ana Bonge la Gari jipya kabisa ni Range Rover toleo la tarehe 24 December 2014.Range Rover Vogue SE TDV6 (2014)yaani Voque Sport Supercharged Autobiography lenye  umri wa miezi mitatu  tu na sasa lipo Bukoba, huyo ndiye Mlangira Justuce Lugaibura (Baba Grace)
 Kuingia ndani anakutana na meza ya Wadau,kikao kikiwe kimetawaliwa na Ndugu 'Kagunguna'!
 Yupo pia Mr Ben Mulokozi, Mr Basibila na Mganyizi pichani kulia.
 Jicho la Camera yetu linaamia mkononi duuh !ni hivi jamaa katupia brasslet ni Sheeedah !!
Akiwa faragha kidogo na swahiba wake Mlangira Ben Kataruga pichani kulia
Mr.appetizer ananyanyuka ili kumkaribisha Mrs Samuel Lugemalila
Katika hili na lile na Mr. Cathbert Basibila.
Mkurugenzi wa kampuni ya uwakala wa utalii ya Victoria Expeditions Ndugu Samuel Lugemalira akisalimiana na Ndugu Kagunguna.
 Baada ya muda inaingia familia ya Mlangira Justuce Lugaibura kama inavyo onekana pichani
Balaaa!! hili ndilo Gari aina ya Range Rover analolitumia Mrs Justuce, Bi Johiryn John maarufu kama 'Kisha'.Gari nalo limeandikwa jina lake kwa kifupi 'JOJO' badala ya  namba
 Watoto wakiteta na Baba yao kabla ya kuongozana nae kuelekea wanako nkujuwa wao.
Jamaa anachukua kasi,kama anavyo onekana akiagana na rafiki yakewa Mlangira Ben Kataruga. 
The Bodyguard
 Mdau Aidary akiteta jambo na Mdau Ruge Baruti
 Ndivyo anavyo onekana Kijana Mpambanaji Rahym Abdul Rahym Kabyema
 Bi betty nangai, Bi Devotha   akiteta na ndugu yake Bibie Anitha Kajumbula
 Msanii hapa hapa BK Sunday aka Mr Lover ukipenda 'Assecdo' na Lady Mariam 'Tinda Tine'kutoka nchini Uganda walishusha bongo la Show Usiku wa Krismas Dec 25, 2014
Lady Mariam 'Tinda Tine'
Ni matukio mbalimbali yalijiri Siku ya Krismas Dec 25,2014 ndani ya Manispaa ya Bukoba
 Kushoto ni Mrs Justuce Lugaibura Mamaa Kish Kish 'JoJo maarufu kama Johiryn John
 Ndugu wa familia ya Mzee Kabyemela wakifuatilia Show .
 Msanii Lady Mariam akiendelea kuwapagawisha mashabiki wake.
 Mdau Lenus ndani ya Ukumbi wa Bukoba Club.
 Mdau Hafidh (Nkurukumbi ) na Mdau Issa pichani
 Mr & Mrs Patty wakifuatilia burudani kutoka kwa Msanii Bk Sunday.
Wanenguaji wa Mwanamuzi Lady Mariam kutoka nchini Uganda wakifanya yao jukwaani
Kila aliyeshuhudia Show hii alimkuba Mwambaji Lady Mariam mara tunashuhudia Malangira Ben Kataruga akianza kumtunza na mihela mpaka basi!!
 Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa  ndani ya Ukumbi wa Bukoba Club Usiku wa Crismas wakati Mlangira Ben akifanya yake.
 Msanii Bk Sunday  akiimba na kucheza sambamba na wanenguaji wa Msanii Lady Mariam kutoka nchini Uganda
 Show ya kusisimua kutoka kwa Wanenguaji wa Lady Mariam

Ni mambo ya burudani usiku wa Krismas Bukoba 2014.
 Mzee Basibila akionyesha umahiri kwa kucheza nyimbo ya Asili kutoka kwa Msanii Bk Sunday
BUKOBAWADAU BOG tunawatakia "heri ya mwaka mpya" tukiwa na furaha ya kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia.
Pia kwa taarifa /matukio na shughuli mbalimbali kama mikutano, sherehe, misiba,Makongamano na kadhalika waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
 Anaitwa Uncle Tom 'Mtani Jembe'
 Krismas Bukoba 'wachaa kabisaa'!!
 Mr Rahym ,Uncle Thom na Joha Rugenge ( Rais wa kanda ya ziwa)
 Wadau pichani ni Rutta na Hatu Kabugumira
Mr & Mrs Beneth pichani wakifuatilia burudani
 Taswira ya watu ndani ya Ukumbi wa Bukoba Club usiku wa Krismas.
 BUKOBAWADAU BOG tunawatakia "heri ya mwaka mpya" tukiwa na furaha ya kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia.
Pia kwa taarifa /matukio na shughuli mbalimbali kama mikutano, sherehe, misiba,Makongamano na kadhalika waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241Next Post Previous Post
Bukobawadau