Bukobawadau

KATIKA PICHA BUKOBA YETU LEO JAN 31, 2015

Kutoka maktaba ya Bukobawadau hii ni picha ya mwaka 2005 muonekano wa Jengo la shule ya wasichana ya Kajumulo Girls High School. iliyopo Manispaa ya Bukoba
 Muonekano wa Sasa Jengo la Shule ya Wasichana ya Kajumulo ya Mjini Bukoba
 Sehemu ya Nyuma muonekano wa Majengo wa shule ya Kajumulo Girls' High School iliyopo Manispaa ya Bukoba kwa hivi sasa.
 Sehemu ya mbele muonekano wa Jengo la Utawala la Shule ya wasichana ya Kajumulo Girls High School
 Taswira viunga vya mji wa Bukoba mwaka 2002.
Kutoka maktaba picha ya Bukoba mwaka 2005 wakati bado wananchi hawajaanza kujenga sehemu za mlimani kama inavyo onekana na Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba
Mwaka 2015 Kanisa la Jimboimbo Katoliki la Bukoba (kwa Kilatini Dioecesis Bukobaƫnsis)
  Barabara ya Nkurumah mitaa ya Uswahilini  kata ya Bilele kuelekea Nyakanyasi hivi sasa mabadiriko makubwa yanaonekana watu wamejenga hadi milimani.
Uso kwa Uso na Kijana Masoud  E 1.
  Mlangira Ben Kataruga kama anavyo onekana ni mtu mcheshi asiye na visasi,
muungwana,anayejali watu,mstarabu hana Makuu, majungu wala fitina.
Kushoto ni Dk Verusi Mboneko Kataruga akimpokea na kumkaribisha Mzee Theobard Kagashe aliyefika kuwaona ya baada ya kusikia taarifa za Uwepo wao Nyumbani Kijijini
Dk. Kataruga akimsikiliza Mzee Theobard Kagashe
Mama Kataruga  kama alivyokutwa ameketi akiwa ametulia.
Almaarufu Mzee Deus Damian wa Kijijini Gera.
Taswira watu wa familia mbalimbali waliofika kuwaona wakiendelea kubadirishana mawazo
Mlangira Ben Kataruga akiteta na Mzee Theobard Kagashe.
Mtu wa kujichanganya na wengine pasipo kujali kitu Mlangira Ben Kataruga katika icha na Mr. Deo maarufu kwa jina la Mchungaji.
Kijana Bushira akibadirishana mawazo na kada mwenzake Mzee Zavelia.
 Mzee Kato aka Sokolodo  pichani
Kati ya majirani walikuwa wamefika hapo kwa ajili ya kumuona akina Kataruga.
Kushoto ni Mr Deo  ( Mchungaji) na Dk Venus Kataruga (kulia) akifurahia jambo
Anaitwa Eugen Kabendera pichani kushoto na Ndugu Fadhili Ibrahim Omary(kulia)

Next Post Previous Post
Bukobawadau