Bukobawadau

PATA PUNGUZO LA BEI KWA 21% KUTOKA CHICHI HOTEL,IPO KINONDONI 'B' JIJINI DAR ES SALAAM

Uongozi wa Chichi Hotel iliyoko Kinondoni B jijini Dar es salaam, kwa kushirikiana na Uongozi wa Bukobawadau  unapenda kuwajulisha wateja wake wote na ndugu wadau wa blog yetu kuwa inatoa punguzo la bei kwa chumba kwa asilimia 20 kutoka katika bei yake ya shilingi 70,000 Punguzo hili ni kwa wadau wake wote.   
Hii ni katika kupunguza makali baada ya sherehe za mwisho wa mwaka.

Punguzo hili la 21%  litawezekana kwa kufanya booking kupitia Uongozi wa Bukobawadau wasiliana na MC Baraka kwa simu no 0784 505045 /0673 505045 /0754 505053 au Email bukobawadau@gmail.com  ambaye atafanya mawasiliano ya moja kwa moja na uongozi wa Chichi Hotel kufanikisha punguzo hili.

Ofa hii ni kuanzia leo tarehe 20 Januari  hadi 28  Februari 2015.

Karibu sana
****************************************************
Next Post Previous Post
Bukobawadau