Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Makazi Mhe. William Lukuvi (Mb) (Kulia)
ambaye awali alikuwa Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu
na Bunge) akifafanua jamabo kuhusu masuala ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Waziri wa
Nchi aliyeteuliwa kushika wadhifa huo Mhe. Jenesta Mhagama (Mb)
(kushoto ) wakati wa kumkabidhi ofisi, leo, Jijini Dar e es Salaam.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri mpya wa
Ardhi, Nyumba na Makazi Mhe. William Lukuvi (Mb) (mwenye shati) ambaye
awali
alikuwa Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge)
akiwaeleza wakurugenzi wa Ofisi ya Waziri Mkuu (hawapo pichani)
kuendelea kutoa ushirikiano wa kutekeleza majukumu ya ofisi hiyo, kwa Waziri mpya wa
Nchi ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Mhe. Jenesta
Mhagama (Mb) (katikati) wakati wa kumkabidhi ofisi, leo, Jijini Dar e
es Salaam (anayeandika) ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bi.
Regina Kikuli . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya Wakurugenzi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiliza aliyekuwa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Mhe.
William Lukuvi (Mb) ambaye kwa sasa ameteuliwa kuwa Waziri wa
Ardhi, Nyumba na Makazi ambaye wakati wa kumkabidhi Ofisi aliyeshisha
wadhifa huo wa Waziri
Nchi ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Mhe. Jenesta
Mhagama (Mb) wakati wa kumkabidhi ofisi, leo, Jijini Dar e es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Regina Kikuli akimhakikishia
ushirikiano Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na
Bunge) Mhe. Jenesta
Mhagama (Mb) (kushoto ), wakati wa kumkabidhi ofisi, leo, Jijini Dar e es Salaam, (kulia ) ni Waziri mpya wa
Ardhi, Nyumba na Makazi Mhe. William Lukuvi (Mb) (Kulia) ambaye awali
alikuwa Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comment:
Post a Comment