Bukobawadau

NALPHIN HOTEL & NIGHT CLUB YAZINDULIWA RASMI NA MH.BALOZI KHAMIS KAGASHEKI,DEC 5.

 Shughuli ya mazishi ya Marehemu  Pasianus J. Rugemarira yamefanyika jana Alhamisi Feb 19,2015 Idadi kubwa ya watu kutoka maeneo mbalimbali wamehudhuria mazishi hayo yaliyofanyika katika kijiji cha Luhano kata ya Ishozi Wilaya ya Missenyi
Waombolezaji wakishiriki Ibada ya mazishi
  Kila mwombolezaji anaonekana akiwa na sura ya majonzi.
Omwana Florida Lutinwa pichani katikati
Kwa mbali anaonekana  Mlangira Ben Kataruga akiwasili katika kushiriki mazishi ya ndugu yake wa familia  'Mnyaluganda' Marehemu Pasianus J. Rugemarira yaliyofanyika jana kijijini Luhano-Ishozi
Mtumishi Issac Laurent akiongoza Ibada ya mazishi ya Marehemu Pasianus Rugemarira
 Ibada ya mashishi ikiendelea.
Kwa namna isiyoweza kuelezeka huzuni na majonzi vilitawala muda wote katika eneo hilo la msiba
 Mzee Sota  pichani katika kushiriki shughuli ya mazishi hayo.
 Ndugu, jirani, marafiki wakitoa heshima za mwisho
 Tutakukumbuka kaka yetu mpendwa.
 Wakiendelea kutoa heshima zao za mwisho
Shughuli za kutoa heshima ya mwisho zikiendelea
 Mlangira Ben Kataruga akitoa heshima za mwisho
Jeneza likiwa limefunguliwa wakati wa kutoa heshima za mwisho.
 Wanafamilia wakiendelea kutoa  heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye lenye mwili wa Mpendwa wao marehemu Pasianus Rugemarira
 Sehemu ya umati mkubwa wa wananchi ukitoa heshima zao za mwisho
Dk. Mboneko akitoa heshima za mwisho kwa Mdogo wake marehemu Pasianus Rugemarira
 Hakika ni huzuni mkubwa
 Hivi ndivyo  hali ilivyokuwa katika Shughuli ya mazishi ya Marehemu Pasianus Rugemarira
 Mama akiwa katika huzuni isiyo na kipimo
Waombolezaji na jamaa wakilia kwa uchungu wakati wakutoa heshima zao za mwisho,
Watu wakiwatayari eneo la kaburi
 Kikundi maalum cha Vijana wa Jeshi la akiba wa Kijijini Ishozi wakibeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu Pasianus J. Rugemarira.
 Jeneza likiingizwa kaburini
  Waombolezaji wenye huzuni wakishiriki mazishi.
Mtumishi wa bwana akiongoza shughuli ya mazishi ya Marehemu Pasianus J. Rugemarira
'Sote tulitoka mavumbini na tutarudi mavumbini' Mtumishi Isaac anaweka Udongo kaburini
 Mlangira Dr. Mboneko akiweka Udongo kwenye kaburi la Marehemu Pasianus Rugemarira
Zoezi la kuweka Udongo kaburini linaendelea
Waombolezaji wakiweka udongo kaburini
 Wanafamilia wakiweka Udongo kaburini
Mlangira Ben Kataruga akiweka Udongo kwenye kaburi la Marehemu Pasianus Rugemarira.
Katika hali ya Simanzi wanafamilia na waombolezaji wakati wa kuweka Udongo kaburini.
 Tunamuomba MUNGU ailaze roho ya marehemu pahali pema peponi amen!!
Ndugu  wakiweka udongo kaburini
Waombolezaji wakiweka udongo kaburini
  Watu mbalimbali wakiendelea na utaratibu wa kuweka udongo kaburini.
 Ndugu wamarehemu akiweka udongo kaburini
 Mdau Jamal Kalumuna (Jamco Production)
Tukiwa bado eneo la kaburi.
Ndugu Edmund (Rugalema) Kasano pichani
Mlangira Alkadi baada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi la Pasianus Rugemarira
Ma Elena pichani wakati wa kuweka shada la maua
 Mjane wa Marehemu  akiweka shada la maua
 Mtoto wa Marehemu akiweka shada la maua  kwa niaba ya wanafamilia wote
 Wanafamilia wakiweka mishumaa katika kaburi la ndugu yao
 Mama Mzazi wa msanii Elizabeth Michael akiweka mshumaa kwenye kaburi la ndugu yake
Muonekano wa kaburi wakati wa kuweka mishumaa
 Sehemu ya wanafamilia wakati  mazishi ya Marehemu Pasianus Rugemarira yakiendelea.
 Katika hili na lile anaonekana Mzee wetu Mlangira Rugaibura
 Mtumishi wa bwana akitoa  maombi ya mwisho kabla ya kuwarudisha wafiwa ndani.
 Muonekano wa Kaburi la Marehemu Pasianus Rugemarira mara baada ya mazishi
Mlangira Alkadi akitoa neno la shukrani kwa niaba ya familia
 Mr.Edson Kasano akisoma wasifu wa Marehemu akisoma wasifu wa Marehemu
 Katika hali ya usikivu wakati unasomwa wasifu wa Marehemu Pasianus Rugemarira
Umati wa waombolezaji ulioshiriki kwenye mazishi ya Marehemu Pasianus Rugemarira
 Umati wa watu waliojitokeza kushiriki mazishi haya yaliofanyika Kijijini Luhano Ishozi
Pichani kulia anaonekana Ndugu Mtayomba
Mara baada ya mazishi ikiwa bado msibani hapa katika kuwafariji wafiwa
 Mmoja wa waombolezaji kama anavyo onekana pichani akipata maji.
Sehemu ya wanafamilia katika kikao kidogo mara baada ya mazishi
 BUKOBAWADAU BLOG tunatoa pole kwa wafiwa nyote kwa kumpoteza mpendwa wenu ,Bwana alitoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe. AMINA
Poleni sana ndugu BUKOBAWADAU tunaungana nanyi katika kipindi hiki cha maombolezo
Kupata picha takribani 200 na taarifa nyinginezozaidi ingia hapa TASWIRA MASHIZI YA PASIANUS J. RUGEMARIRA  kumbuka Ku'Like' ukurasa wetu wa facebook.

Mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu Pasianus  mahali pema peponi, Ameen!!

Next Post Previous Post
Bukobawadau