Bukobawadau

ALICHOKISEMA MWIGULU NCHEMBA KUHUSU ZITTO KABWE KUFUKUZWA UANACHAMA CDM

Mh.Mwigulu Nchemba Mbunge wa Iramba Magharibi na Naibu Kaitibu mkuu wa CCM Bara kupitia ukurasa wake wa facebook amesema;IMENISIKITISHA,Nimesikia taarifa za kuenguliwa uanachama kwa Mh.Zitto Kabwe ndani ya Chama alichoanzia siasa,alichokitumikia kwa Jasho na mali,alichowekeza muda na akili yake kwa zaidi ya miaka 19.
Zitto amekuwa/anaendelea kuwachachu ya mabadiliko kwa Vitendo kwa Taifa letu.Uwezo wa kisiasa wa Kabwe adhabu yake sio kumfukuza,Demokrasia ni lazima itumike.
Nakusihi kijana Mwenzangu,Mwanasiasa Mwenzangu na Mchumi Mwenzangu kuwa,Taifa linakuhitaji sana wakati huu tunapopambana na ufanyaji kazi kwa mazoea na kuleta "MABADILIKO KWA VITENDO"Hivyo usikate tamaa watanzania watakuhesabia mema kwa yote unayoyafanya kwaajili ya Taifa letu.
Next Post Previous Post
Bukobawadau