Bukobawadau

BALOZI KAMALA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO UBALOZI WA SINGAPORE BRUSSELS

Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akisaini Kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Singapore Ubeligiji. Singapore imempoteza  Mhe. Lee Kuan Yew aliyewahi kuwa Kiongozi wa Singapore na ambaye aliwezesha nchi, hiyo kuwa miongoni mwa nchi tajiri.
Next Post Previous Post
Bukobawadau