Bukobawadau

BREAKING NEWS :ASKARI WAWILI WAUAWA NA MAJAMBAZI ENEO LA KONGOWE

Majambazi wamevamia kizuizi cha polisi katika eneo la Kongowe na kuua askari wawili na na kumjeruhi mmoja na kupora SMH 2 na pia baada ya tukio hilo wamevamia sheli ya lake oil na kutokomea msitu wa vikindu mkuranga,Msako unaendelea usiku huu kuwasaka hao majambazi!
CHANZO: Mtangazaji Masau Bwire,Radio Wapo
Next Post Previous Post
Bukobawadau