Bukobawadau

MKUTANO WA BALOZI KHAMIS KAGASHEKI KUFANYIKA MARCH 21,2015 MJINI BUKOBA

Mbunge wa jimbo la Bukoba Mjini Balozi Khamis Kagasheki atakuwa na mkutano wa hadhara siku ya Jumamosi March 21,2015 kuanzia majira ya saa 9 Mchana katika uwanja wa Uhuru Mjini Bukoba .
Watu wote mnakaribishwa,Mwambie na rafiki yako!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau