Bukobawadau

MSANII JUX AONYESHA NYUMBA YAKE

Some Weeks Ago Juma Jux aliweka Picha ikionyesha kipande cha nyumba yake , picha hiyo ilitafsiriwa vibaya na baadhi ya mashabiki wake na wengine kusema anajenga gala...Sasa leo amepost ikiwa inaonekana vizuri na kusema haya;Major plans for my humble abode - home recording studio, gym and pool and maybe a puppy for bae. God is good! Planning ahead #RealEstate #Lifestyle #Property #Blessings #AfricanBoy
Next Post Previous Post
Bukobawadau