Bukobawadau

SHUGHULI YA KITCHEN PARTY (MJUBURO) WA BIBIE RUKIA NADHIR RAJABU KUFANYIKA TAR 19/4/2015 KATIKA YA UKUMBI WA LINAS .

Mama Amina Sued Kagasheki wa Mtaa wa Twiga (Bilele ) Mjini hapa anapenda kuwafahamisha na kuwaalika ndugu , majirani na marafiki wa familia yake kushiriki katika Shughuli ya kumfunda,kumzawadia na kumuelimisha binti yake kitinda mimba (pichani) Omwana Rukia.
Shughuli hiyo inatalajiwa kufanyika tarehe 19/4/2015 katika ukumbi wa Linas Night Club
Nyote mnakaribishwa!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau