Bukobawadau

TANGAZO KUTOKA BENKI YA WAKULIMA (KFCB): GARI LINAUZWA KWA NJIA YA TENDA

Uongozi wa Benki ya Wakulima Kagera unapenda kuwatangazia wananchi wote wa Mkoa wa Kagera kuwa gari aina ya TOYOTA Land Cruiser “PRADO” lenye namba za usajili T743 AGW linauzwa kwa zabuni. Liko kwenye hali nzuri linatembea na atakayetaka kulikagua afike Benki ya Wakulima Kagera.

Atakayeshinda tenda atalipa 25% ya gharama yote siku ya tenda na kiasi kitakachosalia kilipwe ndani ya siku kumi na nne.

Zabuni zitafunguliwa tarehe 03.03.2015 Benki ya Wakulima (KFCB Ltd) saa tano asubuhi.

Tenda zipelekwe Benki ya Wakulima mkabala na ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera.

Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba zifuatazo:
1.  0789 769207 / 0755 012467
2.  0714 530508
3.  0784 389000
 Nyote mnakaribishwa

Next Post Previous Post
Bukobawadau