Bukobawadau

BUKOBA!'FULL KWECHENCHA' NA YAMOTO BAND!

 Usiku wa kuamkia leo ,wale Vijana wa YAMOTO BAND wenye sauti tamu na Vipaji vya hali ya juu wameendelea kuacha gumzo ndani ya Mji wa Bukoba kwa makamuzi ya show ya hatari iliyopigwa live katika Ukumbi wa Linas Night Club.
 Nyomi  ya mashabiki katika kupagawa na Vijana wa Yamoto Band
Mrembo shabiki wa Yamoto Band akionyesha uwezo wake jukwaani.
 Haya na mengineyo utapata kuyaona kupitia Video muda wowote hapa hapa Bukobawadau

 Msanii Dogo Aslay kama vile haamini anachokishuhudia kutoka kwa mashabiki Mjini hapa

 Hizi ni shangwe za wanzoni tu,ukumbini
Ndani ya Ukumbi wa Linas kupitia Bukobawadau pichani ni mashabiki wakifurahia makamuzi ya burudani kabambe kutoka kwao Yamoto Band
 Mr Sunday na Mr Rackson Kahabuka wakishow Love mbele ya Camera yetu
 Bukoba wacha kabisaa!!
Shabiki akipagawishwa na Yamoto Band.

 Haaah kwa mbali....Anaonekana...!!! hakika hawa watoto ni Noma!'
 Bwana Bushira kwa ukaribu na Bwana Masudi Kamala wa Kalumuna wakifuatilia show.
  Mr & Mrs Abubakar Kabyemela Subira wakifuatilia show nzima.
 Macho ya mashabiki pale mambo yanapo endelea kunoga ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club.
Sehemu ya wadau wa Mji wa Bukoba wakiendelea kufurahia bonge la Show kutoka kwa vijana wa Mkubwa Fella 'Yamoto Band'
 Watu Full Kadansee, 'Full Kwechencha 'mikono ikiwa hewani.
 Vijana wakiwajibika
Ndani ya Ukumbi wa Linas kupitia Bukobawadau pichani ni mashabiki wakifurahia makamuzi ya burudani kabambe kutoka kwao Yamoto Band
Nyomi ya watu  si mchezo
 Wadau pichani kama walivyo kutwa na Mwanalibeneke Ukumbini
Taswira Ukumbini wakati burudani ikiendelea.
 Wingi wa watu na Umahiri wa wasanii wa Yamoto Band
 Watu wakiendeleza 'Kadansee'!

Al Masudi Kamala akiendelea kufuatilia show
Muhimu usisahau kujiunga nasi kwa kulike ukurasa wetu wa facebook kwa kubofya /click neno hili>>BUKOBAWADAU MEDIA
 Kupata matukio ya picha zaidi ya 100 kumbuka kujiunga nasi kwa kulike ukurasa wetu wa facebook kwa kubofya /click neno hili>>BUKOBAWADAU MEDIA

Next Post Previous Post
Bukobawadau