Baada ya kusakamwa kwa muda mrefu kuhusu suala la kutopata mtoto hatimaye Wema Sepetu amefunguka hivi:
""Ningekuwa na uwezo wa kuzaa ningekuwa nimezaa muda mrefu sana... But
sina... Na siwezi kumkufuru mwenyezi mungu.... Au mngependa niwe
nawaambia jinsi ninavyo hangaika usiku na mchana kupata mtoto wangu
mwenyewe... Is dat wat u want...? kila ntakachofanya kwa ajili ya tumbo
langu basi nitangaze... Au mnadhani siumii mnavyosema kuhusu maswala ya
mtoto.
"kumbukeni na mimi pia ni
binaadam... Nina moyo kama nyie...Au mnadhani napenda kuona wenzangu
wana watoto au wana ujauzito alafu mimi sina hata wa
kusingiziwa...Mnaona nafurahia sio....Hivi mna nini jamani...Yaani mtu
unaweza weka post kwa nia nzuri then people jus come from nowea wanaanza
kukuandikia maneno ya kukuumiza kabisa nafsi hadi mtu unakaa unajiuliza
umemkosea nini mwenyezi Mungu...Kwani kuna niliemkosea yoyote mpaka
muanze tu kunikashifu na kunitolea maneno mazito namna hio... Kisa
mtoto... Mnadhani naipenda hii hali... Hata mimi natamani kuitwa mama na
hakuna kinachoniuma kama hicho.... So mnadhani sijui kama umri unaenda
na maisha yenyewe sikuhizi mafupi anytime we die... Mnafikiria
nisingependa kuacha hata ka copy kangu siku ndo Mungu anasema
ananichukua... Hata mimi natamani ningekuwa napiga picha niko na
mwanangu... I want dat with all my life but I cant.... Sitokaa nimkufuru
Mungu wangu hata siku moja maana sijui ni kitu gani kaniandikia... But
just dont rub it in... It hurts... And im jus a human being like each
and everyone of u.
VIA DJ FETTY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comment:
Post a Comment