Bukobawadau

MAZISHI YA MAREHEMU SHADIA HAKHIM KICWABUTA (1984-2015) KIJIJINI ISHOZI !

Marehemu Shadia Hakhim Kichwabuta pichani wakati wa Uhai wake..
Idadi kubwa ya wananchi kutoka maeneo mbalimbali,Viongozi wa Dini na wanasiasa wameweza kuhudhuria mazishi ya Marehemu Shadia Hakhim Kichwabuta aliyekuwa mke wa Ndugu Hakhim Kichwabuta  pichani katikati
Mazishi ya Marehemu Shadia Hakim Kichwabuta yamefanyika Jana Jumatano Apr 15,2015 Nyumbani kijijini kwa mme wake Ishozi Wilayani Misenyi na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Dini ,Siasa ,na Sehemu kubwa ya wananchi.
Waumini walishiriki kisomo cha  hitma pamoja na sala ya kumsalia Marehemu Shadia iliyofanyika Nyumbani hapo kama yanavyojionyesha sehemu ya matukio katika picha kupitia BUKOBAWADAU Blog.

Sheikh Haruna Kichwabuta ambaye ndiye sheikh wa Mkoa wa Kagera mapema akitoa nasaha zake kabla ya mazishi
Wanawake wakipata nasaha kutoka kwa Sheikh Haruna Kichwabuta
Sehemu ya wanawake wakiwa katika hali ya huzuni kufuatia kifo cha ghafla kilichompata rafiki yao mpendwa Marehemu Shadia Hakim Kichwabuta (Mka hakhim)
 Inshallah kher.. tumuombe Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu Shadia mahala pema peponi
 Kwa wale wote walio hudhuria Mazishi haya,familia ya Kichwabuta inatoa shukrani kubwa kwenu inasema;Inshallah  mwenyezi mungu awape shifaa
Wakati wa kisoma cha hitma
 Waumini wa Kiislam wakisalia Jeneza
 Waumini wa dini ya kiislamu wakiendelea kusalia mwili wa marehemu Shadia Hakhim Kichwabuta
Sheikh Kakwekwe akiongoza Swala ya Marehemu  Shadia Hakhim Kichwabuta
Sheikh Haruna Kichwabuta, Uncle Salum ( Olganizer) na sehemu ya waombolezaji wakiwa eneo la kaburi kushiriki kuhusitili mwili wa Marehemu Shadia Hakhim Kichwabuta
 Mr. Jamal akiwajibika.
Haji Abuba Sued akishiriki kikamilifu zoezi la kuhustili mwili wa Marehemu Shadia Hakhim

Maziko yakiendelea
Udongo ukiwekwa kaburini.
Ni moja ya mazishi ya kihistoria tunapata kushuhudia kutokana na wingi wa watu walivyojitokeza kushiriki .
 Mzee Kassim pichani katika maziko hayo
Sheikh kutoka Kagoma Muleba akiweka udongo Kaburini
 Hatua za mwisho waombolezaji wakiweka Udongo kaburini
 Hakika sehemu kubwa ya watu kutoka wilaya mbalimbali wameweza kushiriki mazishi hayo
 Mdau Mkhusini pichani
Mr.Hakhim kichwabuta katika kufarijiwa na mmoja wa waombolezaji aliyefika msibani
 Ndugu Hassan Hussein Kichwabuta pichani
Sehemu ya waombolezaji pichani anaonekana Ustaadh Aziz Remdin, Mr Zuri (rose cafe)Mr Ayaz na Mr. Taimuli(Karama Shop)
Mzee Adv. Rweyemamu rafiki wa familia akitoa mkono wa pole kwa Sheikh Haruna Kichwabuta
Bukobawadau tukiendelea kukujuza kilicho endelea Kijijini Ishozi katika mazishi hayo
Sehemu ya waombolezaji mara baada ya shughuli ya mazishi.
 Waumini wanapokea Dua baada ya Shughuli ya mazishi ikikamilika.
 Taswira mbalimbali kupitia picha kutoka Ishozi Wilayani Misenyi
 Mzee Bandali akiteta jambo na Ndugu Hamim
Mahustaadhi wakibadirishana mawazo
 Al Amin Abdul na Ndugu Nuru
 Ndugu Yahya pichani kushoto na Ndugu Hamza Ngemera mara baada ya shughuli ya mazishi
 Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi Marehemu Shadia Hakhim Kichwabuta amsamehe Makosa yake, Amina!
Mara baada ya Shughuli ya mazishi muendeshaji wa shughuli ya mazishi haya  Uncle Salum Olganizer anatoa utaratibu kufuatana na ratiba na hapo kifuatacho ni Ubani kwa ajili ya marehemu yaani waombolezaji na wanafamilia kupata Msosi.
 Taswira mbalimbali baada ya shughuli ya mazishi
 Mr. Philbart G. (kitwe shop ) na Mr Sudi Karatasi
 Ndugu Abdul Galiatano na Swaiba yake wa karibu Jumanne bingwa
Ndivyo wanavyo onekana sehemu ya Waombolezaji  waliofika kushiriki mazishi haya
 Msemaji wa familia Bw.Siraji Kichwabuta akitoa historia (Wasifu wa) ya Marehemu Shadia Hakhim

Bukobawadau Blog tunatoa pole kwa wanafamilia wote Inshallah Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki 
 Ndivyo wanavyo onekana La Familia Kajuna's
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema,Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau