MWALIKO KATIKA SHUGHULI YA KITCHEN PARTY (MJUBURO) WA BIBIE RUKIA NADHIR RAJABU
Mama
Amina Sued Kagasheki wa Mtaa wa Twiga (Bilele ) Mjini hapa anapenda
kuwafahamisha na kuwaalika ndugu , majirani na marafiki wa familia yake
kushiriki katika Shughuli ya kumfunda,kumzawadia na kumuelimisha binti
yake kitinda mimba (pichani) Omwana Rukia.
Shughuli hiyo inatalajiwa kufanyika tarehe 19/4/2015 katika ukumbi wa
Linas Night Club
Nyote mnakaribishwa!!