Bukobawadau tunaendelea kuwasiliana na Wadau wa elimu kwa lengo la
kukujuza kinachoendelea mpaka sasa kutokana na Wanafunzi wa shule za
sekondari za serikali za Rugambwa, Kahororo, Ihungo, Nyakato, Rukore,
Kabanga na Muyenze mkoani Kagera Kurudishwa nyumbani kutokana na ukosefu
wa chakula. Wanafunzi wanaojiandaa na mitihani ya taifa tu ndio
waliobaki shuleni. [Chanzo: Citizen, 13/4/2015, ukurasa wa 9]. Pia
imeripotiwa kuwa shule za sekondari za serikali katika mikoa ya Dodoma,
Tabora, Mtwara, Arusha, Mwanza na Mbeya zinakabiliwa na uhaba mkubwa wa
chakula [Chanzo:Tanzania Daima, 13/4/2015, ukurasa wa 2].
Nini maoni yako kuhusu maamuzi ya Katibu wa TAMISEMI ?
Nini maoni yako kuhusu maamuzi ya Katibu wa TAMISEMI ?
0 comment:
Post a Comment