Hafla
ya chakula cha jioni iliyo andaliwa na Mh.Anatory Amani kwa ajili ya
Wageni kutoka Nykombing Mors nchini Denmark,hafla iliyofanyika siku ya
jana May 5,2015 @ Bukoba Corp Hotel,hafla hiyo imehudhuliwa na wadau mbalimbali ,wafanyabiashara na viongozi wakiongozwa na Mwenyeji Mr. Johanssen Lutabingwa ambaye ndiye Secretary Bukoba Sistership Promotion Trust Fund.
SIKILIZA YALIYOJIRI KATIKA AUDIO HAPA CHINI
BILA KUONGEZA NENO WALA KUPUNGUZA BUKOBAWADAU TUTAKUFIKISHIA HABARI HII KATIKA PICHA ZAIDI NA VIDEO FULL VERSION ,ENDELEA KUWA NASI!!
0 comment:
Post a Comment