VIDEO/PICHA MJUBURO WA LALY ABDULGARD NI BALAA !!NI SHANGWE MWANZO MWISHO!!
Bwana Harusi mtarajiwa Laly AbdilGard (katikati) wakati akiingia Ukumbini na kupokelewa na Mama yake mzazi 'Mama Rubby' pichani kulia na mpambe wa mtarajiwa Bwana Hassan 'Busta' pichani kushoto.
Pichani kulia Mmoja wa wajonza zake na Bwana Harusi mtarajiwa anaanzisha utaratibu wa kuchop money kama inavyojionyesha katika sehemu ya video yetu mwishoni mwa ukurasa huu.
Mdogo mdogo ukumbini....
Madada na Makaka wa harusi mtarajiwa wakiingia ukumbini kwa show maalum.
Kiukweli watu wapo very classic
Naam!Kama kawaida kupitia Bukobawadau Blog tunafanya kukujuza kupitia Video na picha namna ambayo Mama WETU Mama Rubby ,Mama ambaye ni mkimya na mtulivu, mtu wa watu na “mcha Mungu" alivyopata support ya aina yake kutoka kwa Madada,mawifi, ndugu, jamaa na marafiki katika shughuli ya (Kapu la mama) ,hatua ya Utayari kwa Mwanae pekee wa kiume Laly AbdulGard.
Shughuli ambayo imefanyika jioni ya Jumapili May 24,2015 katika Ukumbi wa Linas Club.
Mtarajiwa Bwana Laly akiwa haamini kinacho endelea
Mama Mwainunu, Mama Mkude, Mama Ashura wao ni sehemu ya mapokezi langoni
Uncle akitoa kibao maalum cha burudani.
Makaka nao katika mikato na swagar mbalimbali.
Dada Teddy na Mama Kalike wakifuatilia kinacho
Mama mzazi akiendelea kutoa zawadi kwa Mwanae.
Vyama mbalimbali marafiki wa Mama Rubby kwa hakiwa wameweza kuonyesha mshikamo wa hali ya juu.
Mama Mody akikabidhi zawadi yake .
Mawifi zake Dada Rubby nao wakikabidhi aina mbalimbali ya Zawadi pesa taslimu
Hakika mambo yalikuwa safi, yalipendeza kinoma ile Wahaya wanasema 'Tikiliwa Igamba' Hayasimliki kwa kifupi hayana definition; Omwana Laly .....!!
Mama Ashura rafiki mkubwa wa familia akifanya yake.
Kwanamna ya pekee Kila mmoja alikuwa akileta zawadi na mkabidhi Mama Rubby na mwanae Mtarajiwa Laly AbdulGard.
Marafiki zake wa karibu wakikabidhi zawadi yao
Sehemu ya zawadi alizokabidhiwa Bwana Laly Abdulgard.
Utaratibu wa zawadi ukiendelea.
Haya na mengine mengi utapata kuyaona kupitia video yetu hivi punde
Muendelezo wa matukio ya zawadi na pongezi.
Muonekano wa sehemu ya zawadi ukumbini
Pongezi za hapa na pale zikiendelea
Mrs Jamal Kalumuna mmoja wa wanamama wa mjini waliohudhuria katika shughuli hii.
Ukumbini Watu walikuwa ni wengi sana na wakionesha kuwa na furaha kubwa!
Taswira mbalimbali ukumbini
Haya na mengineyo ni sehemu tu ya matukio,endelea kuwa nasi kwa sehemu ya kamili ya Video
Muonekano wa Dada zake Bwana Laly.
Hii ni kwa mkhutasari.... endelea kuwanasi kwa picha kamili ....Soon
Camera yetu ikiendelea kuangaza maeneo yote ukumbini
Mripuko wa Shangwe na vigelegeleni ukumbi.
Sehemu ya wadau wakiendelea kufuatilia kinacho
Dada Zainabu akimpongeza kwa furaha Dada Rubby ,Dada mkubwa wa Mtarajiwa wetu Bw.Laly
Mama Lugusha pichani anasema 'Hii safi sana' anampongeza kwa dhati Mama Rubby .
Mama Sadath pichani kushoto akifuatilia kinachojiri kwa ukaribu.
Mambo ya lemba kwa Dada zake mtarajiwa..bwana Laly Abdulgard hakika wanapendeza !!.
Kwa pamoja wakiserebuka ukumbini
Kaka zake na Mtarajiwa walio ongozana nae ukumbini
Mama Rubby akapata fursa ya kutoa neno la shukrani na kuwakaribisha Watu wote katika harusi itakayofanyika siku ya Jumamosi tarehe 30.5.2015 katika viwanja vya Mayunga Uswahilini
Zawadi..zawadi.... zawadi yaani zawadi zimekua zawadi mpaka basi..!
Pongezi kutoka kwa Mama Muhazi
Shangwe za hapa na pale kama unavyojionea....
Mc Mshereheshaji wa shughuli hii akiserebuka.
Dada yake Mama Rubby kutoka Dar es Salaam akikabidhi zawadi ya pesa taslimu
Mama Husna kwa namna moja ama nyingine ametoa mchango mkubwa kufanikisha shughuli hii
Mashost ukumbini
Bw. Laly akimshukuru kwa dhati Mama Lugusha.
KILEMBA ni moja ya kitupio katika mavazi, ambacho huchangia kumfanya mwanamke wa Kiafrika aonekane kuwa mwenye mvuto zaidi.
Waalikwa ukumbini
Kumbuka kujiunga nasi katika ukurasa wetu wa facebook kwa Matukio ya picha zaidi ya 200.
Mama Rubby Mama mzazi wa Bwana Laly akilia wakati mwanae akimpatia zawadi yake kwa kumpa 'busu la upendo' na Maneno matamu ya shukrani yaliyoleta msisimko kwa kila mtu ukumbini
Bwana Hassan' Busta' mtu wa karibu na Mtarajiwa.
Mwisho Mama Rubby akitoa neno.
Muendelezo wa picha katika kipengere za mengineyo.
Pongezi kwa mhusika Bwana Laly.
Ni ngumu kupata maelezo sahihi kuhusiana na tukio zima.
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya shughuli hii
Dada Halima na Mwatumu pichani
Mapema kabisa wakati wakiingia ukumbini
Dada zake na Mama Rubby wakati wakikabidhi zawadi
Kwa Matukio zaidi ya picha 200, jiunga nasi kwa kugonga link hii >>KUMBUKA KU LIKE NA KUSHARE PAGE YETU
Matukio ya picha mbalimbali ukumbini
Mama Achi pichani
Mwanadada pichani akifuatilia kwa umakini kinacho endelea
Mwanadada Nehema pichani na mdogo wake.
Wadada wakifanya kutweet.
Mdau Hanaf Hamad.
Mpaka hapa bukobawadau tunasema hongereni sana wanafamilia wa Mama Rubby.
Mtamboni yupo Dj Slay wa 88.5 Kasibante FM Radio
Ni hatari, ni balaaa ni mwendo wa shangwe.
Credit photo;@Bukobawadau
Maswahiba wa familia ya Mama Rubby.
Bwana Mohamed Kassim na Laly toka kidato kimoja
SEHEMU YA VIDEO MWANZO MWISHO HAPA CHINI.