Mkurugenzi Idara ya Uratibu
maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jen. Mbazi Msuya akimpongeza Nahodha wa meli ya
Mv. Liemba, Mande Mangapi mara baada ya kuwafikisha salama waomba hifadhi ya
ukimbizi kutoka Burundi wapatao 600, katika bandari ya Kigoma kutoka Kagunga, saa
mbili usiku tarehe 15 Mei 2015, kushoto ni Kaimu Katibu Tawala mkoani Kigoma,
Salvatory Shauri.
Ujumbe uliongozwa na
Mkurugenzi Idara ya Uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jen. Mbazi Msuya
ukiwa katika bandari ya Kigoma kwa ajili ya kuwapokea waomba hifadhi ya
ukimbizi kutoka Burundi mara baada ya kuwasili kutoka kijiji cha Kagunga na Meli
ya Mv. Liemba saa mbili usiku, tarehe 15 Mei 2015
Baadhi ya waomba hifadhi ya
ukimbizi kutoka Burundi wakiwasili
katika bandari ya Kigoma kutoka kijiji cha Kagunga na Meli ya Mv. Liemba saa
mbili usiku, tarehe 15 Mei 2015.
Askari wa Jeshi la Polisi, Konstebo
Genovefa Kizinza akifanya ukaguzi wa mzigo aliowasili nao muomba hifadhi ya
Ukimbizi kutoka Burundi mara baada ya kuwasili katika bandari ya Kigoma kutoka
kijiji cha Kagunga na Meli ya Mv. Liemba saa mbili usiku, tarehe 15 Mei 2015
Baadhi ya waomba hifadhi ya
ukimbizi kutoka Burundi wakiwa wamejipanga tayari kusafirishwa kwa mabasi hadi
kwenye kambi ya mpito ya Lake Tanganyika muomba hifadhi ya Ukimbizi kutoka
Burundi mara baada ya kuwasili katika bandari ya Kigoma kutoka kijiji cha
Kagunga na Meli ya Mv. Liemba saa mbili usiku, tarehe 15 Mei 2015.
Mkurugenzi
Idara ya Uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jen. Mbazi Msuya (katikati)
akiwa na Uongozi wa mkoa na baadhi ya wawakilishi wa mashirika ya kimataifa
yanayohudumia wakimbizi mara baada ya kuwapokea
waomba hifadhi ya ukimbizi kutoka Burundi katika bandari ya Kigoma kutoka
Kagunga, saa mbili usiku tarehe 15 Mei 2015, (mwenye tai) ni Kaimu Katibu
Tawala mkoani Kigoma, Salvatory Shauri.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comment:
Post a Comment