BALOZI KAMALA AKUTANA NA WADAU WA ZAO LA TUMBAKU
Balozi wa Tanzania Ubeligiji, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya Dr.
Diodorus Buberwa Kamala (wa pili kutoka kulia) akiwa na Wadau zao la
Tumbaku baada ya kumaliza kikao nao ofisini kwake Brussels leo. Katika
kikao hicho changamoto zinanazokabili soko la tumbaku zilibainishwa na
kuweka mkakati wa kukabiliana nazo.