SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

20 June 2015

KASI YA MAUAJI YA KUKATA WATU MAKOROMEO!

Matukio ya mauaji ya kukata watu makoromeo yanaendelea kuchukua kasi Mkoani Kagera.
Matukio mawili yakusikitisha yametokea Usiku wa kuamkia leo June 20,2015 Katika Kijiji cha Gera ,Kata ya Gera iliyopo wilayani Missenyi ,tukio la kwanza Bwana Gozi Gasper pichani amekutwa ameuawa kwa kukatwa koromeo na watu wasiojulikana na tukio lingine Bwana Nurdin Nuru amekutwa ameuawa katika kijiji hicho na mwili wake kutelekezwa barabarani

Matukio haya yanakuja ikiwa ni baada ya Wiki moja MTANDAO wa Jamii Forums kuripoti kuuawa kwa watu wawili katika kata ya Nyakato ,Bukoba Vijijini huku wengine wakijeruhiwa.

1 comment:

Anonymous said...

This adds another devastating events kwenye jamii. Ilianza matukio ya mauaji ya albino mpaka sahivi inaonekana its merely normal incidencies. I don't see any seriousness iwe jamii or government side to curb these unceasingly incidencies. Sasa limeingia la makoromeo....my God!!! Last month bwanjai kuna mzee alipotea like a week akapatikana amekufa katupwa karibu ma pango na some of his body parts hazikuwepo. This is serious and I'm too sympathetic na haya matukio yanayotokea but sioni mkakati wa kutokomeza huu unyama. Hii tabia kama imeingia vijijini honestly most of our relatives are in the landscape battle. Watu wataogopa hata kwenda kunywa kapelele jioni kwa kuhofia kuvamiwa na wasaka makoromeo. Nadhani serikali ya mkoa na jamii kwa ujumla we need a collective responsibility kuaddress haya matukio ambayo sasa yanaota mizizi na yanatokana na imani potofu ambazo tunapaswa kuzipiga vita kwa nguvu zetu zote

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU