LOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO MKOANI TANGA, WANACCM 24,125 WAMDHAMINI
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkomo maelfu ya wanaCCM na wananchi wa Mkoa wa Tanga, waliojitokeza kwa wingi kwenye Ofisi za Chama Cha Mapinduzi, Mkoa wa Tanga leo Juni 17, 2015. zaidi ya WanaCCM 204,125 wamemdhamini Mh. Lowassa, ili aweze kuteuliwa na CCM kuwania Urais wa Tanzania, kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akitoa shukrani kwa WanaCCM na Wananchi wa Mkoa wa Tanga, walijitokeza kwa wingi kwenye Ofisi za Chama Cha Mapinduzi, Mkoa wa Tanga leo Juni 17, 2015, ambapo zaidi ya WanaCCM 204,125 wamemdhamini Mh. Lowassa, ili aweze kuteuliwa na CCM kuwania Urais wa Tanzania, kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akipokea fomu yenye majina ya WanaCCM waliomdhamini ili aweze kuteuliwa na CCM kuwania Urais wa Tanzania, kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.anaekabidhi fomu hiyo ni Katibu wa CCM Wilaya ya Tanga Mjini, Lucia Mwiru.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akipokea fomu za ziada yenye majina ya WanaCCM waliomdhamini ili aweze kuteuliwa na CCM kuwania Urais wa Tanzania, kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. anaekabidhi fomu hizo ni Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Tanga, Mathew Mganga akikabidhi.